Umati wa watu takriban 300,000 waandamana mji wa Marekani kuunga Israel mikono

Mungu wa wayahudi si USA na EU

Alianza kuwalinda na mazombi ya dini yenu tang hata kabla USA haijawa nchi, soma historia itakusaidia...
 
Halafu waarabu wanawagonga sana mabinti wa kizungu huko ulaya, karibia kila familia ya kizungu ina damu ya waarabu

Muarabu aliyezaliwa au kuchanganya na wazungu kwenye damu huwa hana uzombi wa kidini, wengi ni wastaarabu.
Wanaozingua ni wale wamekwenda na kukaa kivyao bila kutengamana na watu wengine, wanakua bado wamesheheni chuki walizopokezwa na dini yao.
 
India nayo kuna raia waliandamana kuiunga mkono israel. Ukiona maandamano ya kuunga mkono hamas popote pale duniani ujue hao ni waislam tu. Tayari ulaya na amerika kuna waislam wengi huandamana kuunga mkono ndugu zao wa imani katika dini
 
Wanavyuo wamelipwa $250 kila mmoja,na kugharamiwa usafiri
 
Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea​

Uharo mtupu.
 
TEXAS STANDS WITH PALESTINE!
 
Attachments

  • twidown.mp4
    2.9 MB
Wanavyuo wamelipwa $250 kila mmoja,na kugharamiwa usafiri
kwani huko nako wanafanya kama chama chenu kukusanya watu kwenye mikutano yao ili waonekane wengi? Sidhani kama muislam atapokea hela ili aisapoti israel kwenye maandamano ya kuinga mkono
 
kwani huko nako wanafanya kama chama chenu kukusanya watu kwenye mikutano yao ili waonekane wengi? Sidhani kama muislam atapokea hela ili aisapoti israel kwenye maandamano ya kuinga mkono
Habari mbona ipo mtandaoni,wazayuni wametoa Dola 250 kwa waandamanaji,wengi wanafunzi,ili kuchuna uso wa uzayuni ambao umechafuka kwa maandamano dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…