Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Mkuu unakuwa na mihemko sana, je thathmini za athari kitu chochote zinafanyia mwisho wa au mwanzo wa tukio?
Sasa mifano iko all around us kwa nini tusubiri kitu ambacho kiko wazi

Hiyo ndio approach ya Do nothing wait and see ya Magufuli ina madhara makubwa sana kiuchumi na kijamii
 
Sasa mifano iko all around us kwa nini tusubiri kitu ambacho kiko wazi

Hiyo ndio approach ya Do nothing wait and see ya Magufuli ina madhara makubwa sana kiuchumi na kijamii
Kwetu(Tanzania) ni mapema mno kwasasa kujua au kupata thamini za athari kiuchumi na kijamii labda hadi tukifika june to july na huu ugonjwa.

Be patient serikali ipo makini sana.
 
Kwetu(Tanzania) ni mapema mno kwasasa kujua au kupata thamini za athari kiuchumi na kijamii labda hadi tukifika june to july na huu ugonjwa.

Be patient serikali ipo makini sana.
Mbona Nchi nyingine zimefikia hadi hatua za kuruhusu wananchi wao wasilipie Umeme kwa miezi miwili

Wewe unafikiri hii Approach ya Do nothing ya Magufuli itazaa matunda siku za usoni
 
Mbona Nchi nyingine zimefikia hadi hatua za kuruhusu wananchi wao wasilipie Umeme kwa miezi miwili

Wewe unafikiri hii Approach ya Do nothing ya Magufuli itazaa matunda siku za usoni
Nchi nyingine kama zipi mkuu?
 
misasa unafikiria huu mkakati wa Magufuli dhidi ya Corona ambao ni Do nothing utaleta matunda siku za usoni
 
Hongera wanachama wa CHADEMA kuitikia huo mwito kama ni kweli nafasi zimejaaa[emoji853]

Ushauri tu, watakaopitishwa kugombea wapewe elimu ya kujaza form zinazotolewa na Tume ya Uchaguzi
 
Mbona Nchi nyingine zimefikia hadi hatua za kuruhusu wananchi wao wasilipie Umeme kwa miezi miwili

Wewe unafikiri hii Approach ya Do nothing ya Magufuli itazaa matunda siku za usoni
Kwa hiyo wasipolipia umeme hawapati corona
 
Kwa hiyo wasipolipia umeme hawapati corona
Hoja yangu ushauri wangu ni kutokana na janga hili la corona na mdororo wa uchumi wananchi wapunguziwe mzigo kwa kutolipa bili ya umeme hata kwa miezi miwili huo ulikuwa ni ushauri tu.
 
Fanua zaidi
jimbo gani kuna wagombea gani
 
Kwamba hakuna viwanda na biashara zilizoathirika kutokana na hii pandemic?..me nakupa ya jana tuu ya kiwanda cha Mazava Morogoro nyingine tafuta ww,hadi mfumo wa elimu umeathirika huoni?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nafasi kubwa ya CDM kufanya makubwa na kuleta ukombozi dhidi ya uimla uliopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…