misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mifano iko all around us kwa nini tusubiri kitu ambacho kiko waziMkuu unakuwa na mihemko sana, je thathmini za athari kitu chochote zinafanyia mwisho wa au mwanzo wa tukio?
Kwetu(Tanzania) ni mapema mno kwasasa kujua au kupata thamini za athari kiuchumi na kijamii labda hadi tukifika june to july na huu ugonjwa.Sasa mifano iko all around us kwa nini tusubiri kitu ambacho kiko wazi
Hiyo ndio approach ya Do nothing wait and see ya Magufuli ina madhara makubwa sana kiuchumi na kijamii
Mbona Nchi nyingine zimefikia hadi hatua za kuruhusu wananchi wao wasilipie Umeme kwa miezi miwiliKwetu(Tanzania) ni mapema mno kwasasa kujua au kupata thamini za athari kiuchumi na kijamii labda hadi tukifika june to july na huu ugonjwa.
Be patient serikali ipo makini sana.
Nchi nyingine kama zipi mkuu?Mbona Nchi nyingine zimefikia hadi hatua za kuruhusu wananchi wao wasilipie Umeme kwa miezi miwili
Wewe unafikiri hii Approach ya Do nothing ya Magufuli itazaa matunda siku za usoni
BotswanaNchi nyingine kama zipi mkuu?
Usimuambie mtuLazaro Nyalandu anafanya kazi nzuri sana, juzi nilikuwa Kindai karibia mkoa wote wa Singida ni Chadema tu, muda huu ninaoandika... No hate No fear
View attachment 1415752
Hongera wanachama wa CHADEMA kuitikia huo mwito kama ni kweli nafasi zimejaaa[emoji853]Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa nafasi kwa viongozi kuwafahamu kiundani Wagombea hawa kabla ya kuwapa nafasi za kugombea.
Nafasi zote za ubunge na udiwani kwenye majimbo na kata zote nchi nzima, hakuna mtia nia ambaye yuko peke yake, yako majimbo ambayo kuna watia nia ya ubunge kuanzia watatu hadi watano!
Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?
# TUENDELEE KUNAWA MIKONO ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA .
Kwa hiyo wasipolipia umeme hawapati coronaMbona Nchi nyingine zimefikia hadi hatua za kuruhusu wananchi wao wasilipie Umeme kwa miezi miwili
Wewe unafikiri hii Approach ya Do nothing ya Magufuli itazaa matunda siku za usoni
Hoja yangu ushauri wangu ni kutokana na janga hili la corona na mdororo wa uchumi wananchi wapunguziwe mzigo kwa kutolipa bili ya umeme hata kwa miezi miwili huo ulikuwa ni ushauri tu.Kwa hiyo wasipolipia umeme hawapati corona
Fanua zaidiHii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa nafasi kwa viongozi kuwafahamu kiundani Wagombea hawa kabla ya kuwapa nafasi za kugombea.
Nafasi zote za ubunge na udiwani kwenye majimbo na kata zote nchi nzima, hakuna mtia nia ambaye yuko peke yake, yako majimbo ambayo kuna watia nia ya ubunge kuanzia watatu hadi watano!
Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?
# TUENDELEE KUNAWA MIKONO ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA .
kwa mfano , Silinde ametia nia jimbo la Tunduma ambalo yuko pia Mwakajoka huku akiachana na jimbo lake la MombaFanua zaidi
jimbo gani kuna wagombea gani
Huwa nacheka sana ulivyozungusha mikonoKutia nia kumetupa nafasi ya kuchagua pumba na mchele
Hahahahahaaaaaaa..mibirika ya kahawaHujanielewa nina maana mlikuwa mnasema serikali inafedha na ina chakula cha ziada sasa corona imekuja kuthibitisha hilo hehehe
Huu ndio wakati wa kujitutumua na sio kwenda kujificha nyuma ya mideli ya kahawa huko Chato
Kwamba hakuna viwanda na biashara zilizoathirika kutokana na hii pandemic?..me nakupa ya jana tuu ya kiwanda cha Mazava Morogoro nyingine tafuta ww,hadi mfumo wa elimu umeathirika huoni?.Niambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?
Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?
Duh...Huu ni mwaka wa kuzoa viti Watanzania wamechoshwa na huu utawala wa kiimla
Ulitembelea sehemu zipi?Mimi nilikuwa huko majuzi tu sasa nani anayeota mimi wewe??
Nilikuwa Singida juzi
No hate No fear
Duh...
Kuna nafasi kubwa ya CDM kufanya makubwa na kuleta ukombozi dhidi ya uimla uliopo.Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa nafasi kwa viongozi kuwafahamu kiundani Wagombea hawa kabla ya kuwapa nafasi za kugombea.
Nafasi zote za ubunge na udiwani kwenye majimbo na kata zote nchi nzima, hakuna mtia nia ambaye yuko peke yake, yako majimbo ambayo kuna watia nia ya ubunge kuanzia watatu hadi watano!
Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?
# TUENDELEE KUNAWA MIKONO ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA .