Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Ndio mana kundi lingine la wayahudi wslizinguana na bwana musa wakafuata njia yao to western africa na kusini mwa jangwa la sahara

Usiniulize how uliza kwanza kwa nini historia ya africans inaanzia 1600's and not before
 
walipita hukohuko chini kwa chini hamna cha kifusi wala nn
hivi baada ya bahari kutenganishwa, kile kina cha bahari nani alikijaza kifusi mpaka kufikia ground level? [emoji53] [emoji53]
 
wanahistoria haohao wakija wakikwambia hakuna proof yoyote ya existence ya Yesu utakubali? sasa kama hutakubali kwanini umuamini mwanahistoria? so mnaamini kinachowapendeza nyie kisichowapendeza mnakipuuzia hata kama ni cha kweli? hatari sana.
 
Mungu anakuona
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MUNGU YUPO HAKIKA NA HAKUNA UBISHI KWA HILO, Ila Kitu DINI Duniani HAKUNA kabisa sijakutana na DINI ya Mungu hapa duniani DINI ni matendo yako mwenyewe
 
wanahistoria haohao wakija wakikwambia hakuna proof yoyote ya existence ya Yesu utakubali? sasa kama hutakubali kwanini umuamini mwanahistoria? so mnaamini kinachowapendeza nyie kisichowapendeza mnakipuuzia hata kama ni cha kweli? hatari sana.
Haao niloo kwambia ni wana historia wa kwenye theology.

Infact hata wanao sema Mungu hayupo wana namna yao ya kujitetea
Mimi nilikuwa na muelekeza tuu kuwa makadirio ya safari hiyo si kama anavo hisi yeye.
*topic ya Mungu sasa hiyo ni nyingne na nayo ina mambo yake
 
kubwa kuliko yote ni kwamba ukichukua 1.75m ÷ 60 minutes = 2.9 cm per minute.. hivi kweli mtu ndani ya dakika anakava umbali wa sentimita 2.9?? dah huu si uongo kabisa huu mkuu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani 1.75m÷60minutes=2.9cm per minute.
Kwanza inaonekana physics ulifeli Sana. Na pia ndo mana huelewi kuhusu hilo swali lako.
Jibu la hapo ilitakiwa iwe ni (m per minutes)
Umeshaanza kuchanganyikiwa kwa kumkosoa Mungu
 
Yaani 1.75m÷60minutes=2.9cm per minute.
Kwanza inaonekana physics ulifeli Sana. Na pia ndo mana huelewi kuhusu hilo swali lako.
Jibu la hapo ilitakiwa iwe ni (m per minutes)
Umeshaanza kuchanganyikiwa kwa kumkosoa Mungu
kujifanya mjuaji ushaaribuuu.. sasa hapo nimekosea wapi we k i l a z a? huoni kama nimeconvert metre to centimetre coz ukiweka kwenye metre unapata namba ndogo sana ambayo ni 0.029 metre? ruler ina cm na inches ukitumia ruler utapataje kipimo hicho cha 0.029 metre?
kujifanya mjuaji ushaaribuuu.. sipendagi ujinga mimi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
..nyakati zimebadlika,saa unayotumia leo alikuwa nayo musa?..huu muda wa sasa umeanza lini(miezi 12 kuwa mwaka)???kuna watu tuliambiwa waliishi miaka 600 walikuwaje miili yao??.labda hiyo miaka mia sita ya zama hizo ni 60 kwa zama hizi
 
Hapo ndo utaonana umuhimu wa Tren napenda miaka irudi nyuma watu watembee miguu na magari farasi
 
Jaribu kuelewa apo ameeleza Kuna wkt musa anaenda kusali hata miezi 8 wanakua hawajamove sooo hzo hesabu zako kwa siku ni lzm zigome km Kuna kipindi walikua hawatembei kbs hata hizo mita 42
 
Mita 42 ni equivalent to hatua 42
 
Karibu kuelewa apo ameeleza Kuna wkt muda anaenda kusali hata miezi 8 wanakua hawajamov sooo hzo hesabu zako kwa siku ni lzm zigome km Kuna kipindi walikua hawayembei kbs hata hizo mita 42
hizo data umepata wapi weka source basi. na we kwa akili zako timamu unaamini musa alisali kwa zaidi ya miezi nane? aliua ndugu yake au babake mpaka asali miezi yote hio? ina maana baada ya hio miezi nane hakusali tena wakati kusali ni kitu continuous? yesu mwenyewe kafunga siku arobaini hata miezi miwili haifiki, ifikie wakati muwe mnajiongeza, sisi hatutaki ujinga hapa.
 
Mita 42 ni equivalent to hatua 42
mh kwa hio mita moja ni sawa na hatua moja? labda kama waisraeli walikua wanapiga hatua za kupimia penati spot.. ila kiuhalisia mita moja si sawa na hatua moja.
 
Kutoka Misri mpaka Israel ni 8,716km lakini sio tatizo wewe kusema 613km, issue hapo ndio ujue Mungu yupo na akiamua kukuziba macho unakuwa unaona lakini uoni.
 
Hawakwnda moja kwa moja..walikua wanaweka makazi njiani yakudumu na kuzaliana pia...
wakiona hali imekua sawa ya hewa na chakula wanacho wanaendelea kadri Mungu alivyokua anamwongoza MKUU WA MSAFARA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…