Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
ni kweli, walipitia Tabora ndio wakatokea Mbeya!Eti naambiwa walikuja hadi Mbeya,wakageuza!...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli, walipitia Tabora ndio wakatokea Mbeya!Eti naambiwa walikuja hadi Mbeya,wakageuza!...
Naendelea kufuatilia huu uzi ili niweze pata majibu ya walichokuwa wanfanya humo njianimh kwa hio mita moja ni sawa na hatua moja? labda kama waisraeli walikua wanapiga hatua za kupimia penati spot.. ila kiuhalisia mita moja si sawa na hatua moja.
Kwa hyo walikuwa wanagegedana njiani?Hawakwnda moja kwa moja..walikua wanaweka makazi njiani yakudumu na kuzaliana pia...
wakiona hali imekua sawa ya hewa na chakula wanacho wanaendelea kadri Mungu alivyokua anamwongoza MKUU WA MSAFARA.
acha u k i l a za.. google distance from egypt to Israel kama haiji 613 km, sijawahi kuona mtu anatengeneza uongo kuulinda ukweli.. nasemaga spendi ujinga kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kutoka Misri mpaka Israel ni 8,716km lakini sio tatizo wewe kusema 613km, issue hapo ndio ujue Mungu yupo na akiamua kukuziba macho unakuwa unaona lakini uoni.
Tumia to google kijana hapo ndipo utajua mimi na wewe na kilazaacha u k i l a za.. google distance from egypt to Israel kama haiji 613 km, sijawahi kuona mtu anatengeneza uongo kuulinda ukweli.. nasemaga spendi ujinga kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 408918
huo ni uongo mtakatifu hebu pitia hii website upime umbali kutoka mji mmoja hadi mwingine hapa duniani.
Distance from Egypt to IsraelTumia to google kijana hapo ndipo utajua mimi na wewe na ******
The Best Coment. Kwa amri ya mahakama Musa kwokwote aliko hai au mfu eletwe ajibu hili. For 40 yrs only 630 km?Umbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi. Huu ni wastani wa kilomita 15 kwa mwaka, sawa na kilomita 1.25 kwa mwezi. Hii ni sawa na mita 42 tu kwa siku, yani umbali nusu ya uwanja wa mpira.
Moderators , mnamba ya simu ya Musa umlete hapa ajieleze, huu uvivu waliutoa wapi.
Sipendagi ujinga
Ujinga sio utani mkuu, just lack of information.Halafu mambo ya MUNGU kama haya usiyalete kwenye jukwaa la utani na usiyaelezee kiutaniutani.
Eti sipendi ujinga,ndiyo nini sasa?
Angekuwepo Kambarage hapa nahisi angekomenti hivi..."Haya yalikuwa mazuzu tu..."ni kweli, walipitia Tabora ndio wakatokea Mbeya!
Mtu msomi hawezi kuuliza huo ujinga. Tangu lini wachungaji waka wataalam wa kujua mafanikio ya kidunia? Na kama kweli wewe unasoma kila kitu ungejua watu wengi waliofanikiwa wakiwa na umri zaidi ya miaka 40.
hata wangeweka kambi na kuoana ila sio kwa uongo wa miaka 40 asee, hivi unajua umbali wa kutoka misri hadi israel ni sawa na kutoka Dar hadi Tabora? sa mtu utembee toka Dar hadi tabora uchukue miaka 40? ngoja nkanywe bia kwanza labda nipo soba ndo mana sielewi..Kasome vizuri Kutoka, hawakutembea consecutive. Kuna sehemu waleweka kambia hata miaka 5 na zaidi. Kuna sehemu walisubiri mpaka washinde vita ndio wapite. Walipambana na makabila mengi njiani ambayo yaliwafanya kukaa sehemu muda mrefu bila kutembea.
Well said.Unajua nimekuja kugundua christianity is a pure white man /white wash,philosophy to conquer the world. When fear is instill into people's mind.Fear of jehanam,and the heavens as the reward of being submissive (forgiving,kindness,let go of things) you can control and manipulate anyone because they are in fear of the unknown.
My objections is not to say that,there is no God. But am saying there is absolutely no religion that will take you close to God. Religion is absolutely pure non sense in history of human existence.