Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40


Piga simu Kutoka 13:17-18
\v 17 Ilikuwa hapo Farao alipokwisha kuwaacha watu hao waende zao, Mungu hakuwaongoza kwa njia ya nchi ya Wafilisti, ijapokuwa ilikuwa ni ya karibu; maana Mungu alisema, Wasije wakaghairi watu hawa hapo watakapokutana na vita, na kurudi Misri; * \v 18 lakini Mungu akawazungusha hao watu kwa njia ya bara kando ya Bahari ya Shamu; wana wa Israeli wakakwea kutoka nchi ya Misri hali wamevaa silaha.


Piga pia Kumb 8:1-18

\c 8
\p \v 1 Amri hii ninayokuamuru leo mtaishika kuitenda, mpate kuishi na kuongezeka, na kuingia katika nchi ile ambayo \nd Bwana\nd* aliwaapia baba zenu; nanyi mtaimiliki. \v 2 Nawe utaikumbuka njia ile yote \nd Bwana\nd*, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili akutweze, kukujaribu kuyajua yaliyo moyoni mwako, kwamba utashika amri zake, au sivyo. * \v 3 Akakutweza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha \nd Bwana\nd*. * \v 4 Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arobaini. *
 
Mkuu haya ni maswali ya MTU asiye na taarifa halisi ya hiyo safari
Ujiulize kwanza
Kwa nini wakati wa naenda walitumia siku
Kwa nini wakati wanarudi tena misri wakai wa yeremia walitumia muda mfupi
Kwa nini majeshi ya wababeli yalifika huko kwa muda mfupi

Pia unapaswa kujua hawakusafiri daily kuna mahala waliweka jambo siku za kutosha au miezi ya kutosha mfano wakipomsubiri Mussa siku arobaini kutoka mlimani
Tuanzie hapo
 
hiyo Ni adhaabu walipewa na mungu sababu ya kufuru zao.walikuwa wanaona kama wanasafiri lakini wanarandaranda Tu hapo,hadi mussa akafa hakufika huko,Harun naye pia..
 
Nafikiri inawezekana kutajirika baada ya kuvuka miaka 40 lakini kwa hakika ni vigumu mno. In fact huwezi kujiahidi au kuahidi watoto wako kuwapa utajiri baada ya kuvuka umri wa 40-45.
What are u talking about???umemeza viloba na pakti zake mkuu??
Watu wanatajirika na 55 hadi 60
 
Mbona msiulize Yesu alitembeaje juu ya maji? Au mikate na samaki watano vilitoshaje watu 5000? Ya Ngoswe mwachie Ngoswe,Mazoea hayamuhusu
Halafu mbona hili boda la Misri to Israel kina Yesu walikuwa wakilioneaga sana kulikatizaga na mdingi wake wa kufikia Yusuf na bimkubwaake Mary
 
Musa hakufika nasikia
 
Hadithi tamu mno hii,turudi hapo kwenye huo mlima Sinai,je kuna andiko lolote lile linaloelezea kama huo mlima upo Saudi Arabia??
 
Ndio mana kundi lingine la wayahudi wslizinguana na bwana musa wakafuata njia yao to western africa na kusini mwa jangwa la sahara

Usiniulize how uliza kwanza kwa nini historia ya africans inaanzia 1600's and not before
Huo ndio ubabe wa viongozi wetu wakiimani nao,hawapendagi kbs kuulizwaulizwa maswali
 
..nyakati zimebadlika,saa unayotumia leo alikuwa nayo musa?..huu muda wa sasa umeanza lini(miezi 12 kuwa mwaka)???kuna watu tuliambiwa waliishi miaka 600 walikuwaje miili yao??.labda hiyo miaka mia sita ya zama hizo ni 60 kwa zama hizi
Mbona hamshangai Muhammad alitoka Mecca hadi Jerusalem kwenye msikiti wa Al-aqsa kwa safari ya dakika moja tu na farasi wake mweupe mwenye mabawa mwenye uwezo wa kuruka
 
Hadithi tamu mno hii,turudi hapo kwenye huo mlima Sinai,je kuna andiko lolote lile linaloelezea kama huo mlima upo Saudi Arabia??
Aaa yes!! Wana theologia wana amini hivo. Wapo wengine wanao sema pengine siyo lakini most of biblical scholars agree kwamba mlima sinai ni saudi arabia

Maandiko yako kama 20 ili kujadili hilo sasa labda tufungue uzi kabisa nikuwekee hapo yoote maana lazima uunganishe naratves ndio upate jibu
 
Unapokuja kwenye mathematics... dini huwa zinafeli. 1+1=4 kwao ni Vema
 
Mbona biblia imeelezea kilicho fanya wasafiri kwa miaka 40 we sio msomaji wa vitu tofauti nina mashaka na ww hebu nenda ujifunze zaidi na kasoma katika biblia KUTOKA yote huoni hata biblia kila kitabu kinajieleza, KUTOKA maana kutoka misri
Ni kweli kuna kila kitu katika hicho kitabu. Mungu aliwapitisha njia ndefu ili kuwaepusha vita wasije wakachoka mapema na kukata tamaa

Na ndivyo ilivyo ktk maisha hivyo hovyo Mungu anaweza kukurefushia njia sababu anakujua ndani hadi nje kuwa ukipita hapa utachoka na kukata tamaa sababu kuna vita vingi ktk hiyo njia
 
Age is just but a number. One's success is hinged on desire/need, imagination/creativiity, faith, determination/persistence, hard work and focus. With these, everything is within reach irrespective of the number of years you have been on earth.
 
Na chakushangaza zaidi M 42 kwa siku ni sawa na umbali wa 1.75 M kwa saa mwendo ambao hata mtoto mdogo anayejifunza kutambaa anaweza kuu cover kwa dakika mbili nukta 33!
Kwa dakika sasa...ndio maajabu 0.03m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…