Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,553
Fix zile wkt miaka 90 tu mbindeKuna watu waliishi miaka 600.
Hiyo ni kusadikika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fix zile wkt miaka 90 tu mbindeKuna watu waliishi miaka 600.
Miaka 20 hata chumba kimoja cha ofisi hakuna.
Umbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi. Huu ni wastani wa kilomita 15 kwa mwaka, sawa na kilomita 1.25 kwa mwezi. Hii ni sawa na mita 42 tu kwa siku, yani umbali nusu ya uwanja wa mpira.
Moderators , mnamba ya simu ya Musa umlete hapa ajieleze, huu uvivu waliutoa wapi.
Sipendagi ujinga
Fix zile wkt miaka 90 tu mbinde
Hiyo ni kusadikika
What are u talking about???umemeza viloba na pakti zake mkuu??Nafikiri inawezekana kutajirika baada ya kuvuka miaka 40 lakini kwa hakika ni vigumu mno. In fact huwezi kujiahidi au kuahidi watoto wako kuwapa utajiri baada ya kuvuka umri wa 40-45.
Wakapotea..hahahahaWaisraeli walikanyaga mdudu...
Halafu mbona hili boda la Misri to Israel kina Yesu walikuwa wakilioneaga sana kulikatizaga na mdingi wake wa kufikia Yusuf na bimkubwaake MaryMbona msiulize Yesu alitembeaje juu ya maji? Au mikate na samaki watano vilitoshaje watu 5000? Ya Ngoswe mwachie Ngoswe,Mazoea hayamuhusu
Musa hakufika nasikiaMtoa mada kabla hujauliza swali lako kuna vitu vingi unatakiwa ujiulize,
a) Idadi ya watu kwenye msafara.
Kwa vile walikuwa wengi, iliwabidi waende taratibu, mmoja wapo akipata tatizo ni lazima wamsubirie. Kundi lilikuwa kubwa ilibidi ifike sehemu watafute chakula.
b) Jiografia ya kati ya Misri na nchi ya ahadi, kuna jangwa,milima,mabonde,mito na bahari. Kutokana na hayo inabidi sehemu ya kutumia siku moja inabidi mutumie miezi kadhaa kuuzunguka mlima au kukwepa bonde. Kumbuka kizazaa walichokipata wakati wanavuka bahari ya shamu.
c) Umri tofauti katika kundi, kulikuwa na watoto wazee na vijana.
d) Aina ya usafiri waliokuwa wanautumia, fikiria unatembea kwenye jangwa itakuchukua muda gani kurudisha nguvu zilizopotea.
e) Muda wa ibada, kuna wakati Musa ilibidi aende mlimani(sehemu yenye utulivu) kusali na kuongea na Mungu, kumbuka Mungu hapangiwi muda,unaweza msubiri hata miezi 8 hajakujibu.
Mwisho kabisa ulikuwa ndio mpango wa Mungu watumie miaka 40 kufika nchi ya mito na maziwa. ATAKAYE VUMILIA MPAKA MWISHO HUYO NDIE ATAKAYEIONA NCHI MUNGU ALIYOWAAHIDI WATU WAKE
Hadithi tamu mno hii,turudi hapo kwenye huo mlima Sinai,je kuna andiko lolote lile linaloelezea kama huo mlima upo Saudi Arabia??Zamani nilifundishwa kuwa wanahistoria wana dhania kuwa hawa watu walipita njia ya mbali na kuna possibility ya kuwepo kwa njia karibu tatu za wao kufika Israel ila hawa kwenda moja kwa moja.
Nilivo fundishwa ni enzi hizo ni kuwa hawa jamaa walikuwa gosheni kutoka gosheni mpaka Misri kwa kutembea inadhaniwa ni inachukua mwezi mmoja tuu.
Lakini hawakupita huko walikuja chini huku kufuata mto naili, wali pita mpaka bahari nyekundu ambako ni mbali sana, baadaye walikatisha wakaenda mpaka mlima sinai unao dhaniwa kuwa uko saudi arabia, walikuwa wakizunguka jangwani sana then wakapandisha mpaka bahari ya chumvi wakaja kushuka kidogoogo
Ndio wakaingia yeriko na kaanan
Sasa humo njiani walipiga kambi, walipigana vita na mambo kadhaa, niliambiwa kuwa lengo la Mungu lilikuwa ni kuhakikisha kizazi chote kilicho toka Misri kina fia njiani hada kwenye jangwa na wanao ingia kaanan ni watu wapya na kweli waliotoka Misri walifika kanan wa wili tu , joshua na mwenzie.
Pia wana sema hii iliwasaidia hao waisraeli kwani walitengeneza jeshi, walitengeneza uongozi , silaha na vikosi vya upelelezi vililifanya kuwa taifa lenye nguvu kwa nyakati hizo, toka siku ya kwanza
*hivo ndo nijuavo marekebisho yata pokelewa, ila ukitaka kuipata stori hii inatakiwa uijue miji ya zamani ya.middle east karibu yote
Cc Deadbody
Cc nanya
Huo ndio ubabe wa viongozi wetu wakiimani nao,hawapendagi kbs kuulizwaulizwa maswaliNdio mana kundi lingine la wayahudi wslizinguana na bwana musa wakafuata njia yao to western africa na kusini mwa jangwa la sahara
Usiniulize how uliza kwanza kwa nini historia ya africans inaanzia 1600's and not before
Mbona hamshangai Muhammad alitoka Mecca hadi Jerusalem kwenye msikiti wa Al-aqsa kwa safari ya dakika moja tu na farasi wake mweupe mwenye mabawa mwenye uwezo wa kuruka..nyakati zimebadlika,saa unayotumia leo alikuwa nayo musa?..huu muda wa sasa umeanza lini(miezi 12 kuwa mwaka)???kuna watu tuliambiwa waliishi miaka 600 walikuwaje miili yao??.labda hiyo miaka mia sita ya zama hizo ni 60 kwa zama hizi
Kwani Mungu ni nani hasaa??Halafu mambo ya MUNGU kama haya usiyalete kwenye jukwaa la utani na usiyaelezee kiutaniutani.
Eti sipendi ujinga,ndiyo nini sasa?
Aaa yes!! Wana theologia wana amini hivo. Wapo wengine wanao sema pengine siyo lakini most of biblical scholars agree kwamba mlima sinai ni saudi arabiaHadithi tamu mno hii,turudi hapo kwenye huo mlima Sinai,je kuna andiko lolote lile linaloelezea kama huo mlima upo Saudi Arabia??
Ni kweli kuna kila kitu katika hicho kitabu. Mungu aliwapitisha njia ndefu ili kuwaepusha vita wasije wakachoka mapema na kukata tamaaMbona biblia imeelezea kilicho fanya wasafiri kwa miaka 40 we sio msomaji wa vitu tofauti nina mashaka na ww hebu nenda ujifunze zaidi na kasoma katika biblia KUTOKA yote huoni hata biblia kila kitabu kinajieleza, KUTOKA maana kutoka misri
Age is just but a number. One's success is hinged on desire/need, imagination/creativiity, faith, determination/persistence, hard work and focus. With these, everything is within reach irrespective of the number of years you have been on earth.Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....View attachment 403864
Kwa dakika sasa...ndio maajabu 0.03mNa chakushangaza zaidi M 42 kwa siku ni sawa na umbali wa 1.75 M kwa saa mwendo ambao hata mtoto mdogo anayejifunza kutambaa anaweza kuu cover kwa dakika mbili nukta 33!