Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,357
But still miaka 40 mingi sana...labda tujiulize kipindi hicho kalenda zilizotumika ndo kama hizi...??mfumo wa kuhesabu majira ulikua kama sasa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wapalestina mbona wamevamia nchi ya ahadi ya waisrael na hawataki kutoka?Ni swali zuri sn japo naona bado mtaalamu wa kulijibu hajapatikana
Kwa Bwana, Siku moja ni sawa na miaka 1,000Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....![]()
yani mtu anatoa komenti inajiuliza huyu jamaa anawaza nini,haaaaa....nalipenda ""sana hili jukwaa
Hahaayani mtu anatoa komenti inajiuliza huyu jamaa anawaza nini,
eti"unarandaranda we umekua vumbi"
Ni kwamba tunapoongelea safari ya wana wa Israel hatumaanishi kwamba kweli kulikuwa na safari kama ambavyo ulikaririshwa bali lugha ya picha ilitumika kuonesha ni jinsu gani iliwachukuwa muda mrefu waisrael kuamini uwepo wa mwenyezi Mungu.Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....![]()
Matukio au maelezo ya kwenye Bibilia ni endelevu na ya kufundisha toka wakati huo hadi sasa , kama mwenzetu alivyoelezea safari ya Tanzania, au Ya "Wasira" "Lukuvi" na hata ya sisi wenyewe binafsi, rejea maelezo ya wale wadada werevu na wasio werevu walioishiwa mafuta na wale wengine walivyo wakatalia kuwapa mafuta , maana wange wapa mafuta wangeishiwa wote.Kwa kweli siyo mbali ki vile siku hizi huwa nawaona watu wanaenda kwa mguu tu mkuu, yaani unakatisha tu mfereji wa Suez unajikuta uko Israel. Kuhusu wana wa Israel kuchukua muda mrefu hivyo nafikri inabidi tukumbuke kuwa hawakupita njia inayotumika sasa hivi, wao walikatisha bahari ya Shamu na kujikuta wako ilipo Yemen ya sasa hivi. Pia ikumbukwe kuwa humo njiani walikuwa wanamkorofisha Mungu naye anaamua kuwapa adhabu ya kupotea humo jangwani ndo maana walikuwa wanachukua muda mrefu sana. Pia humo njiani kulikuwa kunatokea mapigano na makabila mengine waliyoyakuta humo njiani hivyo wakati mwingine wanaenda mbele wakati mwingine wanarudishwa nyuma, ndo maana walikaa miaka 40.
mzee umeshusha nondonilisha sema exodus ni myth hamutaki kusikia hebu rejeab hapahttps://www.jamiiforums.com/dini-imani/733371-exodus-is-a-myth-3.html
Kwanini exodus ni myth (Kumbuka wamisri ni watunza kumbukumbuku wazuri sana)
1. hakuna ushahidi wowote kwa wamisri kuwa walishawahi kuwaruhusu wageni wengi kama 600,000 kuondoka.
2. wakiwa sinai inasemekana watu 3000 waliuwa kwa uvou lakin hakuna hata fuvu moja la ushahidi la binadamu wala mnyama.
3. mapigo kumi kama ilivyoandikwa kwenye bible haijawa documented mahali popote kwenye historia ya misri ajabu eeh tukio kubwa kama hilo.
4. ajabu jingine kuangamizwa na jeshi lote la misri baharini hili tukio halipo kwenye historia ya misri wala archeology haisapoti tukio hilo kumbuka uadui katai ya misri na nchi kama libya,assyrians,KUSHI enzi hizo kuangamizwa kwa jeshi lao kungeleta maafa sana kivita lakini hakikutokea kitu.
5. hakuna uhusiano wa culture kati ya wamisri na wa israel jambo la ajabu watu muishi kwa miaka 400 msifanane culture.
6. baadhi ya miji iliyotajwa kwenye exodus haikuwepo mingine ilikuwepo lakini ilkuwa na idadi chache sana ya watu na haikuwa na ngome kama ilivyoonyeshwa kwenye bible
7. inaonyesha farao aliyeongea na mussa pindi akiwa na 80 yrs ndo farao huyo huyo ambae binti yake alimuokota mussa. wa misri wanadai hakuna farao ambae aliishi muda mrefu kiasi icho only peppi alitawala kwa miaka 94 na hafiti hapo.
8. kanani ilikuwa inatawaliwa na misri kwa hiyo wa israel kuondoka misri kwenda kanani ni sawa na wamakonde kutoka dar es salaam kwenda mtwara kuanzisha nchi yao hapo ni kujitafutia vita na serikali ya tanzania hiyo hiyo wanayoikimbia dar.
9. rejea namba 8 wamisri wanadai kanani ilikuwa inakaliwa na wa israel toka zamani na wala hawakuhamia hapo toka sehemu nyingine.
10. inadaiwa wa israel walikuwa wanafanya kazi ya kufyatua tofali kweli wamisri wanadai hakuna project kubwa iliyokuwa inahitaji tofali nyingi kiasi cha kuhitaji labor supply kubwa kiasi hicho.
Kwa kweli nimecheka sana! Walisafiri kwa muda wa miaka 40 kwa umbali wa kilomita 613! Kwa kweli umesoma maandiko kwa kufikiri sana ila maneno ya Biblia ya maana tofauti sana. Kwa mfano, kuna yule alipiga fimbo maji yakatoweka ikawa njia. Lakini ukifikiri kwa haraka hata leo bahari huwa maji yanaondoka na watu watembeatembea eneo hilo hadi maji yanaporudi. Lakini maana yake siyo hiyo.Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....![]()
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....![]()
Hakuna aijuae Misri ilikuwa na ukubwa gani, pengine ilikua kubwa hadi Aftika Kusini mwa Jang la Sahara, pengine kwenda Kusini hadi Afrika Kusini. Ikumbukwe wana wa Israel walikua weusi.
Hivyo basi inawezekana walitumia hiyo miaka 40 kutembea toka kusini mwa Jangwa la Sahara hadi Israel.
Si kweli,usijibu kwa kufikiri..soma maandiko ambayo yako wazi, shida watu hawasomi maandiko