Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40


Ni kweli ni umbali mfupi sana. Lakini hawakwenda moja kwa moja (direct route kama ndege). Kwa nini ilitokea hivyo, jibu liko kwenye hili andiko:

“Nawe utaikumbuka njia ile yote BWANA, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili akutweze, kukujaribu kuyajua yaliyo moyoni mwako, kwamba utashika amri zake, au sivyo. Akakutweza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha BWANA. Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arobaini.”
‭‭Kum‬ ‭8:2-4‬ ‭SUV‬‬
 
Miaka 40 jangwani ni adhabu walipewa na Mungu kuwa unapenda kusoma biblia
Jibu liko hapa hesabu 32:10-13
 
Sawa mtumishi wa Mungu [emoji120][emoji120]
 
Hesabu 32:10-13
 
Hesabu 32:10-13 majibu ya swali lako yako hapa kuwa unapenda kusoma biblia
 
My point is haikuwa straight journey.walipoteapotea sana humo jangwani,kuna muda walikata tamaa wakasitisha safari,wakaanza tena upya
Kwahyo walikuwa wanarud walipotoka [emoji849]
 
Kwahyo walikuwa wanarud walipotoka [emoji849]
Hujawahi kupotea kariakoo ukajikuta unarudi mtaa uleule,kama uko dar.
Kwa mikoani kupotea porini ni kawaida sana
Same applies to jangwani.
Ila kupotea kwao ilikuwa ni mpango wa Mungu
 

Jibu ni kwamba, miaka tunayotumia katika hesabu za sasa ni tofauti na miaka iyoandikwa kwenye vitabu vya dini, ndiyo maana unaambiwa mtu aliishi miaka mia tisa au elfu moja ndipo akafariki! Vipimo vya majira ya muda vya sasa hivi havikuwepo wakati huo. Ni kama majina ya siku Jumatatu, Jumanne, Jumatano etc, huwezi kuyaona katika vitabu vya dini kwa sababu hayakuweko! Kumbuka kuwa saa hutengeneza siku na siku hutengeneza wiki, wiki hutengeneza mwezi na mwezi hutengeneza mwaka! Sasa wakati huo hata saa hazikuweko, watu walikuwa wanaishi tu porini na wanyama! Maandishi mengi kwenye vitabu vya dini ni masimulizi tu ya hadithi tofauti na uhalisia au ukweli!
 
Hewalaaa.....

Sas ili ndio jbu nililolielewa na kulikubali
Ahsante sana mkuu kwa madini haya ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…