Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umbali kutoka Egypt hadi Israel ni km 613 tu basi, ambapo Mussa na wana wa Isreal walitumia miaka 40 kutembea katika umbali huo wa safari.
Kwa wastani wa mita 43 kama utafanya mahesabu ya kwa siku, hii ukichukua mita 43 mara miaka 40 utapata umbali wa Km 613, hapa tunapata kuwa Mussa na wana wa Israel walitembea mita 43 kwa kila siku.
Ndiyo, mita 43 umbali ambao Usain Bolt anakimbia kwa sekunde 5 tu, dah!
Natamani hapa aje mtu atupatie maelezo ya kina kuhusu jambo hili.View attachment 2381539
Miaka 40 jangwani ni adhabu walipewa na Mungu kuwa unapenda kusoma bibliaUmbali kutoka Egypt hadi Israel ni km 613 tu basi, ambapo Mussa na wana wa Isreal walitumia miaka 40 kutembea katika umbali huo wa safari.
Kwa wastani wa mita 43 kama utafanya mahesabu ya kwa siku, hii ukichukua mita 43 mara miaka 40 utapata umbali wa Km 613, hapa tunapata kuwa Mussa na wana wa Israel walitembea mita 43 kwa kila siku.
Ndiyo, mita 43 umbali ambao Usain Bolt anakimbia kwa sekunde 5 tu, dah!
Natamani hapa aje mtu atupatie maelezo ya kina kuhusu jambo hili.View attachment 2381539
Pointless[emoji57]Kwani ukitumia miaka miwili kujenga nyumba yako ina maana kila siku unajenga
Sawa mtumishi wa Mungu [emoji120][emoji120]Ni kweli ni umbali mfupi sana. Lakini hawakwenda moja kwa moja (direct route kama ndege). Kwa nini ilitokea hivyo, jibu liko kwenye hili andiko:
“Nawe utaikumbuka njia ile yote BWANA, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili akutweze, kukujaribu kuyajua yaliyo moyoni mwako, kwamba utashika amri zake, au sivyo. Akakutweza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha BWANA. Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arobaini.”
Kum 8:2-4 SUV
Hesabu 32:10-13Ni kweli ni umbali mfupi sana. Lakini hawakwenda moja kwa moja (direct route kama ndege). Kwa nini ilitokea hivyo, jibu liko kwenye hili andiko:
“Nawe utaikumbuka njia ile yote BWANA, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili akutweze, kukujaribu kuyajua yaliyo moyoni mwako, kwamba utashika amri zake, au sivyo. Akakutweza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha BWANA. Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arobaini.”
Kum 8:2-4 SUV
Kwa kosa gan wakat walitoka utumwaniMiaka 40 jangwani ni adhabu walipewa na Mungu kuwa unapenda kusoma biblia
Hesabu 32:10-13 majibu ya swali lako yako hapa kuwa unapenda kusoma bibliaUmbali kutoka Egypt hadi Israel ni km 613 tu basi, ambapo Mussa na wana wa Isreal walitumia miaka 40 kutembea katika umbali huo wa safari.
Kwa wastani wa mita 43 kama utafanya mahesabu ya kwa siku, hii ukichukua mita 43 mara miaka 40 utapata umbali wa Km 613, hapa tunapata kuwa Mussa na wana wa Israel walitembea mita 43 kwa kila siku.
Ndiyo, mita 43 umbali ambao Usain Bolt anakimbia kwa sekunde 5 tu, dah!
Natamani hapa aje mtu atupatie maelezo ya kina kuhusu jambo hili.View attachment 2381539
Kwahyo yup yupo sahihi [emoji1745][emoji134]Hesabu 32:10-13
My point is haikuwa straight journey.walipoteapotea sana humo jangwani,kuna muda walikata tamaa wakasitisha safari,wakaanza tena upyaPointless[emoji57]
Hesabu 32:10-13Kwa kosa gan wakat walitoka utumwani
Cyo lazma wote tusome biblia mkuuHesabu 32:10-13 majibu ya swali lako yako hapa kuwa unapenda kusoma biblia
Hesabu 32:10-13My point is haikuwa straight journey.walipoteapotea sana humo jangwani,kuna muda walikata tamaa wakasitisha safari,wakaanza tena upya
Kwahyo walikuwa wanarud walipotoka [emoji849]My point is haikuwa straight journey.walipoteapotea sana humo jangwani,kuna muda walikata tamaa wakasitisha safari,wakaanza tena upya
ExactlyAlitaka kuhakikisha wanaingia nchi mpya wakiwa wameziacha akili na matendo ya Ki-Misri huko huko jangwani
Kwahyo inamaana gan [emoji1745]Miaka zaidi ya 60 nchi nyingi za Sub Saharan Africa bado zinaandamwa na umasikini wa kutupwa.
Hujawahi kupotea kariakoo ukajikuta unarudi mtaa uleule,kama uko dar.Kwahyo walikuwa wanarud walipotoka [emoji849]
Umbali kutoka Egypt hadi Israel ni km 613 tu basi, ambapo Mussa na wana wa Isreal walitumia miaka 40 kutembea katika umbali huo wa safari.
Kwa wastani wa mita 43 kama utafanya mahesabu ya kwa siku, hii ukichukua mita 43 mara miaka 40 utapata umbali wa Km 613, hapa tunapata kuwa Mussa na wana wa Israel walitembea mita 43 kwa kila siku.
Ndiyo, mita 43 umbali ambao Usain Bolt anakimbia kwa sekunde 5 tu, dah!
Natamani hapa aje mtu atupatie maelezo ya kina kuhusu jambo hili.View attachment 2381539
Hewalaaa.....Jibu ni kwamba, miaka tunayotumia katika hesabu za sasa ni tofauti na miaka iyoandikwa kwenye vitabu vya dini, ndiyo maana unaambiwa mtu aliishi miaka mia tisa au elfu moja ndipo akafariki! Vipimo vya majira ya muda vya sasa hivi havikuwepo wakati huo. Ni kama majina ya siku Jumatatu, Jumanne, Jumatano etc, huwezi kuyaona katika vitabu vya dini kwa sababu hayakuweko! Kumbuka kuwa saa hutengeneza siku na siku hutengeneza wiki, wiki hutengeneza mwezi na mwezi hutengeneza mwaka! Sasa wakati huo hata saa hazikuweko, watu walikuwa wanaishi tu porini na wanyama! Maandishi mengi kwenye vitabu vya dini ni masimulizi tu ya hadithi tofauti na uhalisia au ukweli!