Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40


Afu hili tatizo nilidhani ni mimi tu naliona ! Yaani unaweza safiri toka Mtwara hadi Mwanza usione serious production activity afu viongozi wetu wanafunga tai tu ! Sijui wamepigwa na pepo . Yaani hamna hata kiwanda kimoja njiani duh!
 

Watu mmejaliwa ucheshi.
Nilikuwa nime-concentrate kuutafakari umbali toka Misri mpaka Israeli, mara Boom...!!
Namna lyinga alivyo oanisha mada na huu mfano wa Tanzania.... duh, nimecheka sana.
Yaani sikutegemea; mwanzo wa hiyo paragraph ni noma!
 
Hii hadithi ya miaka 40 umeitoa wapi? Kama ni kwenye biblia basi hicho ni kitabu cha
Riwaya kama vile vya shigongo
 
Miaka ya zamani nfmi tofauti na sasa.
Mwezi mmoja wa sasa ni sawa na miaka 10 ya zamani.
so hao walitumia Miezi Minne tu kutoka Misri hadi Israel.
 
Misri ya Leo sio Misri ya enzi za Musa, pia haimaanishi kuwa walikuwa wakisafiri kwa miaka yote hiyo, Kuna process kuweza kuachiliwa kutoka mtumwa hadi kwa huru

Ehhh makubwa misri ya Leo Sio ile ya akina musa??? Naomba ufafanuzi
 
Hiyo 40 years ni kwa hesabu ya kalenda ya sasa ya Papa Gregory.....? Huenda labda kulikuwa na hesabu ya siku kwa kipindi hiko...
 
kwani kuna safari ya kwenda mbinguni toka duniani.? Aaah, story za mbinguni zipo kiimani zaidi. Kwenda mbinguni lazima kufa kwanza.

Safi sana. good idea, napenda sana ulivyojiongeza kimawazo. sio watu wengine wanafuata mkumbo tu bila kuwaza zaidi
 

We jamaa una akili sana..natamani ningekua nakufahamu weekend ijayo tungekula bia nyingi sana na fursa ya kuzipata busara zako kwa ukaribu
 

Kweli mkuu huenda Mungu anasubiri kizazi cha wakina Wasira na Lukuvi kipite kwanza ndio atubariki.
 
Kwa kweli siyo mbali ki vile siku hizi huwa nawaona watu wanaenda kwa mguu tu mkuu, yaani unakatisha tu mfereji wa Suez unajikuta uko Israel. Kuhusu wana wa Israel kuchukua muda mrefu hivyo nafikri inabidi tukumbuke kuwa hawakupita njia inayotumika sasa hivi, wao walikatisha bahari ya Shamu na kujikuta wako ilipo Yemen ya sasa hivi.

Pia ikumbukwe kuwa humo njiani walikuwa wanamkorofisha Mungu naye anaamua kuwapa adhabu ya kupotea humo jangwani ndo maana walikuwa wanachukua muda mrefu sana. Pia humo njiani kulikuwa kunatokea mapigano na makabila mengine waliyoyakuta humo njiani hivyo wakati mwingine wanaenda mbele wakati mwingine wanarudishwa nyuma, ndo maana walikaa miaka 40.
 

you are deserving my like
 

ahsante kwa maelezo. Miaka 40 ya enzi hizo ni sawa na 40 ya sasa? Ufafanuzi tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…