Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
Kwenye satanic verses hakuna maelezo kuhusu safari ya wana wa Israel? Au yule mandevu kwenye hadithi zake hajawahadithia?
ahaa haah ahaa! Mkuu lyinga umenichekesha sana. We unadhani walikuwa wanafanya nini miaka yote hiyo njiani. Eti kama kulikuwa na mama mjamzito, then akajifungua alikuwa na uwezekano wa kupata mjukuu akiwa safarini .emegine!
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
Ni mwendo kama wa siku tatu kwa miguu huku ukiswaga punda anayebeba mzigo. Ndo maana hata wakati wanaenda kulipokuwa na njaa kule Kanaani walikuwa wanaenda kununua chakula Misri kipindi Yusufu akiwa amepewa Cheo kikubwa na Farao. Wana wa Israel walitumia miaka 40 kwa sababu ya uasi walioufanya dhidi ya Mungu aliyewapigania huko Misri na kuwavusha kupitia bahari ya Sham. Wakati Musa anapokea Torati toka kwa Mungu Mlimani Sinai wao waliasi na kumwamuru Haruni kuwatengenezea Mungu, ndipo akawatengenea sanamu ya Baali (habal) ili wamwabudi na wote walimwabudu isipokuwa nyumba ya Joshua na Kalebu. Hivyo, Mungu hakutaka hata moja aliyeshiri uasi huu aingie katika nchi ya ahadi, hivyo katika miaka hiyo wote walioshiri ibada ya Baali walikufa jangwani isipokuwa Nyumba ya Joshua na Kalebu na wana waliozaliwa baada ya uasi.Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
Siyo Isaack, Ni Jacob.Sio mbali kihivyo, ndio maana Isaack aliweza kuwatuma watoto zake kwenda Misri kutafuta chakula wakati ule wa miaka 7 ya njaa.
Na walipofika huko Misri walimkutaka Joseph (mtoto wa mwisho wa Isaack) ndiyo waziri mkuu wa Misri. Aliwatambua ndugu zake na kuwapatia chakula na wakurudi Israel. Baadaye Isaack na wanawe walihamia Misri na ndio ukawa mwanzo wa utumwa wa Waisrael Misri baada ya Pharaoh aliyekuwa anamthamini Joseph kufariki.
Hakuna israel hakuna yesu hakuna PauLina ... biblia inawapotosha bora msome sani au kiu
Wangeweza kutumia siku 8 kuingia nchi hii. Lakini njia hii ilikuwa na maadui wengi na vikwazo vingi. Wangeweza kukata tamaa njiani. Lakini Mungu akawazungusha toka bara sini kuuzuka mlima Sinai ambapo kulikuwa na maadui wachache na vikwazo vichache. Pia Mungu alitaka kukichuja kizazi kilichozoea ibada za miungu Misri awatakase ili nchi ya ahadi kiingie kizazi kipya. Hata hivyo historia na urithi havipotei, walirejea ibada hizi za sanamu. Mungu akawapa waamuzi(soma the book of judges). Waliasi, wakapewa mtetezi kila mara. Kitaalam tunaita apostance circle(kuasi na kurejea kwa Mungu). Wabillah Tawfiiq.
miaka ya zamani nfmi tofauti na sasa.
Mwezi mmoja wa sasa ni sawa na miaka 10 ya zamani.
so hao walitumia Miezi Minne tu kutoka Misri hadi Israel.
Kwenye satanic verses hakuna maelezo kuhusu safari ya wana wa Israel? Au yule mandevu kwenye hadithi zake hajawahadithia?
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
eti bahari ilitenganishwa,bahari ipi hapo wakati watu wanatembea hata kupitia tunnel kutoka misri kwenda gaza.halafu wanakimbia askari wa misri wakati wanadai walikuwa wamepewa uwezo wa kupigana na jehova,kwanini wasipambane na askari wa misri?Hakuna israel hakuna yesu hakuna PauLina ... biblia inawapotosha bora msome sani au kiu