Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Kilomita 613 watu walitembea miaka 40 nawe ni mtu mzima unaisoma hiyo stori na kuikubali??

Yani kwa siku ni sawa walikuwa wanatembea umbali wa sentimita 30 sawa na urefu wa rula ya mwanafunzi.

Sentimita 30 ni nusu ya hatua.
 
Wana wa Israel hawakuwa na mafunzo ya neno la Mungu walikuwa wapagani neno linahitaji watu wenye Imani njia hiyo fupi hiyo wasingeweza kupigana na kushinda hawakuwa na Imani kuwa Mungu atawasaidia hivyo ilibidi Mungu awapitishe njia ndefu kitu kingine walivyotoka kule misri walitaka waingie nchi ya ahadi na miungu yao hii nayo ilikuwa sababu
 
Kilomita 613 watu walitembea miaka 40 nawe ni mtu mzima unaisoma hiyo stori na kuikubali??

Yani kwa siku ni sawa walikuwa wanatembea umbali wa sentimita 30 sawa na urefu wa rula ya mwanafunzi.

Sentimita 30 ni nusu ya hatua.
Sema inatafakarisha.
 
Wana wa Israel hawakuwa na mafunzo ya neno la Mungu walikuwa wapagani neno linahitaji watu wenye Imani njia hiyo fupi hiyo wasingeweza kupigana na kushinda hawakuwa na Imani kuwa Mungu atawasaidia hivyo ilibidi Mungu awapitishe njia ndefu kitu kingine walivyotoka kule misri walitaka waingie nchi ya ahadi na miungu yao hii nayo ilikuwa sababu
Kibinadamu na kimtazamo wa macho ya nyama naweza kusema yafuatayo ni mambo yaliyowakamisha miaka 40😁
1. Vifaa vya kisasa vya usafiri., Ikiwa wangeweza kutumia mifumo ya kisasa ya usafiri, kama magari ya miondoko au hata wanyama wa mizigo wenye uwezo wa kubeba mzigo mkubwa, wangeweza kuvuka jangwa kwa haraka zaidi. Badala yake, walikuwa wanatembea kwa miguu, na hiyo iliwachukua muda mrefu kufika mahali fulani.

2. Vyanzo vya maji. Jangwa la Sinai linajulikana kwa ukame wake, na maji ni rasilimali adimu. Ikiwa wangeweza kutumia mbinu za kisasa za kuhifadhi na kusafirisha maji, kama vile mifumo ya mafuriko au visima vya kisasa, wangeweza kukabiliana na changamoto hii kwa urahisi zaidi na kupunguza muda walioutumia kutafuta vyanzo vya maji.

3.Ufanisi na utoshelevu wa lishe na chakula,wakati wa safari yao, walitegemea chakula cha kipekee kutoka kwa Mungu, kama mana, lakini bila ya kuwa na mipango ya muda mrefu ya kuhifadhi chakula, walikosa ufanisi wa lishe ambao ungefanya safari yao iwe rahisi na haraka. Ikiwa wangeweza kutumia mbinu za kisasa za uhifadhi wa chakula au mifumo ya kilimo ya kisasa, wangeweza kuwa na rasilimali za kutosha na zisizo na matatizo.

4.Uongozi bora wa kisasa, kipindi chote hicho, ingawa Musa aliongoza, ilikuwa changamoto kubwa kusimamia na kuhamasisha umati mkubwa wa watu. Ikiwa wangekuwepo na mifumo ya utawala bora, kama vile viongozi wa maeneo mbalimbali au mashauriano ya kisheria na kijamii, wangeweza kufanya maamuzi haraka na kwa ufanisi zaidi.

5. Mafunzo ya kivita na mbinu za kujilinda. Katika jangwa, walikumbana na maadui na changamoto za kimazingira. Ikiwa wangeweza kutumia mafunzo ya kivita na mbinu za kisasa za kujilinda, kama vile vifaa vya kisasa vya ulinzi au mbinu za kijeshi, wangeweza kupambana na maadui na kuvuka jangwa kwa haraka zaidi.

6. Ufahamu wa hali ya hewa na ramani,.Ingawa walikuwa na mwongozo wa Mungu, kama wangekuwa na ujuzi wa kisasa wa hali ya hewa, ramani, na teknolojia za urambazaji, wangeweza kuepuka maeneo hatari na kupanga njia bora zaidi ya kuvuka jangwa.

7. Yamkini walikuwa wanabishana na kupiga soga njiani who knows😉
 
Halafu wana bahati walikuwa wakiongozwa na Musa Nabii ambae ikitokea kupendwa sana na Mwenyezi Mungu vinginevyo Mungu ilikuwa awaangamize na kuwafuta kabisa katika uso wa Dunia.
 
Zinafunga mpaka ngiri
Kumbuka: kwanini Mtume Mohammad alioa Mwanamke wa miaka 40 wakati yeye ana Umri wa 20+ na ilikuwa Ina maana saana kiroho Muslim wanajua.

Mambo ya Kiroho au ya ki Mungu yanakitaka uwe na ufahamu juu ya mafunuo na uelewa wa kiroho
Ni kweli kibinadamu ukiwaza si logic kabisa 613+ kutembea kwa miaka 40 ndo hivyo Sasa iliwezekana. Na siyo hadithi maandiko na waandishi wengi wamekili Hilo.
So usitafakari kwa ukawaida bali ki theology
 
Mambo ya Kiroho au ya ki Mungu yanakitaka uwe na ufahamu juu ya mafunuo na uelewa wa kiroho
Ni kweli kibinadamu ukiwaza si logic kabisa 613+ kutembea kwa miaka 40 ndo hivyo Sasa iliwezekana. Na siyo hadithi maandiko na waandishi wengi wamekili Hilo.
So usitafakari kwa ukawaida bali ki theology
Umenena vema mambo ya kiroho na kiimani ukiyatazama kibinadamu utaishia kukashfu wengine !,vijana wajifunze kutuliza akili na kunyamaa inaleta ukomavu
 
Umbali kati ya Misri na Israel ni takriban kilomita 613, lakini wana wa Israeli walitumia miaka 40 kusafiri kutoka Misri kuelekea nchi ya Ahadi.

Sababu za kusafiri kwa kipindi kirefu hiki zinaweza kufafanuliwa kwa njia kadhaa:

1. Kujaribu na Kujiandaa Kihisia: Wana wa Israeli walikuwa wanakabiliwa na changamoto nyingi za kihisia na kiroho baada ya miaka mingi ya utumwa nchini Misri. Safari hii ilikuwa ni fursa ya kujiandaa na kuimarisha imani yao.

2. Uasi na Kukosa Imani: Katika safari yao, wana wa Israeli walikabiliwa na matukio kadhaa ya uasi na kukosa imani. Mara nyingi walilalamika dhidi ya Mungu na Musa, na matokeo yake yalikuwa ni kuongezwa kwa muda wa safari yao. Kwa mfano, walipokataa kuingia Kaanani baada ya kupeleka wapelelezi, walihukumiwa kuzunguka jangwa kwa miaka 40.

3. Kujifunza na Kujiandaa Kijamii: Wakati wa safari hii, wana wa Israeli walijifunza kuboresha uhusiano wao kama jamii mpya. Walikuwa wanajenga utamaduni na sheria mpya zinazowaongoza kama taifa huru.

4. Mipango ya Mungu: Katika imani ya Kikristo na Kiyahudi, safari hii inaonekana kama sehemu ya mpango wa Mungu wa kuwapeleka wana wa Israeli kwenye nchi yao ya ahadi. Muda huu wa kusafiri unachukuliwa kama kipindi cha majaribio na kujiandaa kwa ajili ya maisha mapya.

Kwa hivyo, ingawa umbali ni mfupi, sababu za kiroho, kijamii, na kiutamaduni zilisababisha wana wa Israeli kuchukua muda mrefu katika safari yao.
 
Huu ujinga wa kuamini huu upupu wa bibilia ndio ulitufanya tukatawaliwa na kuuzwa kama watumwa.
Hata leo manabii wanawaita wafuasi wao kondoo, sababu hii imani inabidi kuwa mjinga kuamini hio miujiza yao na kukubali kuchanga sadaka ya kujimaliza........
 
Back
Top Bottom