Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40


We Mkenya unajua nini kuhusu mafuvu? Leta mafuvu ya ancestors wako kwanza ili tujue kama kweli hukutokea somalia.
 

So what what is your point here? Hii ndio torati ambayo Mtume Muhammad anayoitaja katika Quran au huna habari? Unapingana na Mtume wako leo? What kind of Muslim are you?

Check here how you are against your holy book Quran. This is from Sahih International

Quran 10:95 Ayah 10:95 And do not be one of those who reject the revelations of Allah because then you would be with the losers

Quran 46:30 Ayah 46:30 They said, "O our people, indeed we have heard a [recited] Book revealed after Moses confirming what was before it which guides to the truth and to a straight path.
 
Je waweza weka hayo maswali nikakujibu ,lakini yangu umeyakimbia vp thomaso aliamini pasipo kuamini ila ukifikiria sana maeneo mengi porojo na watu wanapractice dini kama jadi na hakuna kivingine
 
Soma biblia utaelewa ni nn kiliwakuta watu wale na kuanza kukitatua kufika nchi ya ahadi.. kiuhalisia ukitembea misri hadi israel ni siku 14 kwa mguu..

umesema kweli mkuu wengi wanaocomment hawajasoma biblia kujua nini kilitokea kwa wana wa Israel na sababu zote za wao kuzunguka jangwani miaka zipo wazi. safi sana no research no right to speak.
 
Soma biblia utaelewa ni nn kiliwakuta watu wale na kuanza kukitatua kufika nchi ya ahadi.. kiuhalisia ukitembea misri hadi israel ni siku 14 kwa mguu..
si kweli,ni safari ya dakika 30 tu,ama hujui kuwa hizi nchi zinapakana?
 
sawa. Ndio watumie miaka yote hiyo? We fikiria, upigwe baridi na upepo, mvua na majanga mengine kwa miaka 40,! Kuna umbali gani mpaka watumie miaka yote hiyo?

Kwajinsi unavyokomaa na haya maswali yako nahisi kama hakuna hata moja unalokubaliana nalo katika biblia.
Inawezekana hao walipita long way ya kuingilia bahari ya shamu then wakapita libya, morroco, wakagusa sudan kusini kidogo kabla hawajatokezea somalia, Then wakarudi tena jangwani kuanza upya.
Note: Wakati yusuf anapelekwa utumwani misri hhatuelezwi kama alivuka shamu. Au ndugu zake yusuf walipofata chakula misri hatuelezwi kama walivuka shamu na ndio maana hawakutumia miaka 40. Hawa kina Mussa hawa walivuka shamu kwa walifika mpka sudani hawa na walipotea njia wakati wa kurudi
 
ha ha ha,max una vituko wajameni.

Vituko? who is max? umeandika post zaidi ya elfu kumi na hujatoa "like" hata moja kwa mujahedeen wenzio!! hicho ndio kituko haswa!

The Qur'an recounts details of the story of Moses in a number of chapters. Jibu hoja unapingana na Quran leo?

This is from Sahih International

Quran 46:30 Ayah 46:30 They said, "O our people, indeed we have heard a [recited] Book revealed after Moses confirming what was before it which guides to the truth and to a straight path.

Surat Al-Ma'idah 5:26 mentions 40 years just like the Bible says. So just admit that Quran lie as well? Is that what you are trying to say? I know you are a Muslim so face your claims.

Sahih International
[ Allah ] said, "Then indeed, it is forbidden to them for forty years [in which] they will wander throughout the land. So do not grieve over the defiantly disobedient people."




 

Huyu mungu ulomuelezea hapa anaonekana ni mkatili sana
 
We Mkenya unajua nini kuhusu mafuvu? Leta mafuvu ya ancestors wako kwanza ili tujue kama kweli hukutokea somalia.

HAKUNA EVIDENCE ya migration yoyote kati ya Egypt na Jerusalem, hilo ndiyo suala la msingi. Ili tuamini lazima tutafute ukweli, na ukweli unapatikana kwa evidence, au kutafuta ukweli ni dhambi mkuu?!
 

kulikuwa na motive yoyote kwa mzunguko huo?
 
HAKUNA EVIDENCE ya migration yoyote kati ya Egypt na Jerusalem, hilo ndiyo suala la msingi. Ili tuamini lazima tutafute ukweli, na ukweli unapatikana kwa evidence, au kutafuta ukweli ni dhambi mkuu?!

Kwenye swala la Evidence uliloweka kwa kufoka aka herufi kubwa tunaweza kujadiliana kwa utaratibu na tukaelewana maana nami nayajua vizuri sana mambo haya na kama uko sawa tujadiliane. Huyo Elungata ni mchochezi na mchonganishi na post zake wala hazina malengo ya kutafuta ukweli ila kupotosha na kuchonganisha.
 
ha..!!,kumbe nina post nyingi hivo..mi usisubiri like yangu ukiona nimekuquote in a positive way,jua hiyo ndo like yangu.

Kama nimekupinga ndo dislike yenyewe hiyo.
 

hahahaa, herufi kubwa ni kuonesha msisitizo tu, kufoka ni kuandika herufi kubwa zote. lakini tuachane na hayo kwanza, hebu shusha evidence hapa mkuu tujadili.
 
HA HA HA,KULA HII KWANZA.

Exodus 32:1-5
(Meanwhile): The Israeli
people asked Aaron to
make a God for them.
Aaron replied: Have your
wives, sons and daughters
take off their gold earrings
and bring them to me.
Aaron accepted their
offerings, made them into
a golden-calf, and an altar.
Exodus 32:7-14 (God goes
ballistic again and said):
Now Moses, don't try to
stop Me when I unleash
My wrath to destroy them.
(Disobeying God) Moses
began to plead (to make
God stop): Egypt will say
You took us out with evil
intention, to kill us in the
country, to wipe us off the
face of the Earth. (God),
withdraw Your anger and
refrain from doing evil to
Your people. Moses made
God refrain from doing the
evil He planned for His
people.
Wow! God ordered Moses
not to stop God. Moses
disobeys God - and lives.
And God obeys Moses!
Ah - God will get even
with Moses later.
Exodus 32:19 Moses, who
just calmed down angry
God, became so angry
himself, that he threw
down and destroyed God's
finger-written sacred
tablets and they broke
into pieces.
Exodus 32:27-28 Moses
Levi ordered all the sons
of Levi to slay their own
family, friends and
neighbors; Moses
murdered about 3,000 of
their own relatives, God's
Own chosen.
Moses, with God's consent,
murders about 3,000 of
his own "God-chosen"
people.
Numbers 11:11-15 Moses
said to God: Why are You
treating me so badly?
Don't You like me
anymore? Why do You
place such a burden on
me? Was I the woman
who was pregnant with
this nation in my belly?
Did I give birth to them?
Where can I get enough
meat to give all these
people? I can't be
responsible for this entire
nation. It's too hard for
me. If You are going to do
this to me, do me a favor
and kill me.
Moses whines, bitches and
gripes at God and lives!
God must prove to have
favorites - as long as they
serve Him - on His terms.  
Numbers 16:28 Moses
claims that he does the
Lord’s work; not his own.
Hummm. "Don't judge me
- I was just following
orders." Could this be the
beginning of a future
trend? What a perfect
Biblical model! The
Nuremberg war-crime
trials were full of this
excuse.
Contrary to Christian
propaganda, Adolf Hitler
was a Christian (Catholic).
Hitler often invoked God in
his speeches to the
German sheeple. If you can
get the masses to worship
a false authority (God), an
assumed authority (like
Hitler) can easily step in.
Believers are programmed
and are just waiting "for a
sign" to zealously serve
some assumed authority.
Adolf Hitler
Numbers 21:33-35 God
ordered Moses to do to
King Og as he had done to
others. Moses struck down
the King's sons and all his
people until none were
left and took possession of
his land.
God gave His "chosen
people" nothing. God
ordered Moses to murder
all the landowners, their
wives and their children so
to steal their land.
In Numbers 25:11-17
Phinehas, by murdering
Kazbi (Cozbi) and Zimri,
turned God’s jealous wrath
away from the Israelites.
God then ordered Moses to
murder the Midianites.
Back in Genesis 25,
Abraham married Keturah
and she had 6 sons. One
son was named Midian.
God ordered Moses to
attack and kill Midianites,
Abraham's offspring.
Numbers 31:14-18 Moses
was angry at the Generals
and Captains of the army
and asked: Why have you
kept all these women
alive? Now, kill every
male-child as well as every
woman who has had sex
with a man. But, the
young girls who have not
had sex with a man, you
may keep alive for
yourselves. God's army
killed every male child and
the soldiers took 32,000
girls who were still virgins
for themselves.
Moses is a documented
mass-murderer of women
and children! In your value
system, how do you like
Moses? Are you afraid to
judge God's chosen
heroes?
Deuteronomy 2:34 Moses
led more mass murdering
of women and children.
Bart Floyd, a friend, said: It
doesn't seem like I'm
reading the Holy Bible.
How could God or Moses
do this? It seems more like
I'm reading an
Encyclopedia of mass-
murders.
That is an astute and bold
observation, Sir Bart Floyd.
Deuteronomy 3:2-7
(Moses said): God
delivered Og and we
murdered 60 cities of men,
women and children until
none remained. We took
all the livestock and booty
for ourselves.
Moses is a crazy man - and
his God is even more
insane. "Thou shalt not
kill" is certainly not
holding up. Whatcha
think? The Bible makes it
seem righteously justified
for Moses to kill all those
women and children so to
steal the land that God
promised His "chosen".
Deuteronomy: 32:48-52
God said: Moses, go up the
mountain, look at the land
I give to the children of
Israel, that you wandered
40 years to get to. God
said: Moses, you can't have
it. Moses died.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…