Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

tatizo tunaambiwa kwa miaka 40 wanatangatanga hawajakutana na jamii zingine,baada ya miaka 40 na moses kufa ndo wanaanza kukutana na jamii zingine na kufanya nao vita.

Kasome vizuri iliwachukua muda yapata miaka arobain rejea great treak is a good reference! Kumbuka wakati wanapigana vita huku Musa ameinua mikono juu akishusha kipigo. Unasemea hiyo wamepelekwa uhamishoni kwa miaka 70 mpaka walipokuja kuunganishwa na mfalme Ezekiel.
 
Unusually favourable climatic
conditions in the first two
centuries of Iron Age II
brought about an expansion of
population, settlements and
trade throughout the region.
[31] In the central highlands
this resulted in unification in a
kingdom with the city of
Samaria as its capital,[31]
possibly by the second half of
the 10th century BCE when an
inscription of the Egyptian
pharaoh Shoshenq I, the
biblical Shishak, records a
series of campaigns directed at
the area.[32] Israel had clearly
emerged by the middle of the
9th century BCE, when the
Assyrian king Shalmaneser III
names "Ahab the Israelite"
among his enemies at the
battle of Qarqar (853). At this
time Israel was apparently
engaged in a three-way contest
with Damascus and Tyre for
control of the Jezreel Valley and
Galilee in the north, and with
Moab, Ammon and Damascus in
the east for control of Gilead;
[31] the Mesha stele (c. 830),
left by a king of Moab,
celebrates his success in
throwing off the oppression of
the "House of Omri" (i.e., Israel).
It bears what is generally
thought to be the earliest
extra-biblical Semitic reference
to the name Yahweh (YHWH),
whose temple goods were
plundered by Mesha and
brought before his own god
Kemosh.[33] French scholar
André Lemaire has
reconstructed a portion of line
31 of the stele as mentioning
the "House of David".[32][34]
The Tel Dan stele (c. 841) tells of
the death of a king of Israel,
probably Jehoram, at the hands
of a king of Aram Damascus.
[32] A century later Israel came
into increasing conflict with the
expanding neo-Assyrian
empire, which first split its
territory into several smaller
units and then destroyed its
capital, Samaria (722). Both the
biblical and Assyrian sources
speak of a massive deportation
of people from Israel and their
replacement with settlers from
other parts of the empire –
such population exchanges
were an established part of
Assyrian imperial policy, a
means of breaking the old
power structure – and the
former Israel never again
became an independent
political entity.[35]
Judah emerged somewhat later
than Israel, probably during the
9th century BCE, but the subject
is one of considerable
controversy.[1] There are
indications that during the
10th and 9th centuries BCE, the
southern highlands had been
divided between a number of
centres, none with clear
primacy.[36] During the reign
of Hezekiah, between c. 715
and 686 BCE, a notable increase
in the power of the Judean
state can be observed.[37] This
is reflected in archaeological
sites and findings, such as the
Broad Wall; a defensive city wall
in Jerusalem; and Hezekiah's
Tunnel, an aqueduct designed
to provide Jerusalem with
water during an impending
siege by the Assyrians led by
Sennacherib; and the Siloam
Inscription, a lintel inscription
found over the doorway of a
tomb, has been ascribed to
comptroller Shebna. LMLK seals
on storage jar handles,
excavated from strata in and
around that formed by
Sennacherib's destruction,
appear to have been used
throughout Sennacherib's 29-
year reign, along with Bullae
from sealed documents, some
that belonged to Hezekiah
himself and others that name
his servants;[38]
King Ahaz's Seal is a piece of
reddish-brown clay that
belonged to King Ahaz of
Judah, who ruled from 732 to
716 BCE. This seal contains not
only the name of the king, but
the name of his father, King
Yehotam. In addition, Ahaz is
specifically identified as "king
of Judah." The Hebrew
inscription, which is set on
three lines, reads as follows:
"l'hz*y/hwtm*mlk*/yhdh",
which translates as "belonging
to Ahaz (son of) Yehotam, King
of Judah."[39]
In the 7th century Jerusalem
grew to contain a population
many times greater than earlier
and achieved clear dominance
over its neighbours.[40] This
occurred at the same time that
Israel was being destroyed by
Assyria, and was probably the
result of a cooperative
arrangement with the
Assyrians to establish Judah as
an Assyrian vassal controlling
the valuable olive industry.[40]
Judah prospered as an Assyrian
vassal state (despite a
disastrous rebellion against
Sennacherib), but in the last
half of the 7th century BCE
Assyria suddenly collapsed, and
the ensuing competition
between the Egyptian and Neo-
Babylonian empires for control
of the land led to the
destruction of Judah in a series
of campaigns between 597
and 582.[40]
 
bana we,ntakuhubirije kwa bible?afterall mimi naquote bible mtu akija na maandiko,umeshaona nimeanzisha uzi wa mambo ya dini?,mimi always narespond.

Haya soma history ya waisrael wa mwanzo hapa kwenye link.
History inasema kumbe hata falme za israel na juder kuna wakati zimewekwa na wa asyria as a client state na si na maandiko.haya mambo ya agano la kale ni history iliyoongezwa vionjo na mambo ya imani na pia mambo yasiyowahi kutokea.

You are not mwanazuoni as you said and you distance yourself from quoting Qu'ran? So why quote Bible for that reason? Are you Bible expert?

Wewe ni mchonganishi and you know that. There are tons of things that depend on faith and you think copy and paste will make you a hero?. The Exodus itself is full of miracles and only those who have faith will understand and agree same goes to all other religious claims. You want the evidence of how did Red sea split 3300 years ago?
 
Kasome vizuri iliwachukua muda yapata miaka arobain rejea great treak is a good reference! Kumbuka wakati wanapigana vita huku Musa ameinua mikono juu akishusha kipigo. Unasemea hiyo wamepelekwa uhamishoni kwa miaka 70 mpaka walipokuja kuunganishwa na mfalme Ezekiel.
okay,nadhani ni kweli kuwa mwanzoni musa ndo kaanzisha mapigano na soon after akaambiwa apande kilima aione nchi ya ahadi,kisha akafa.hapa swali ni kuwa miaka 40 imetimia baada ya musa kufa na joshua kukamata madaraka ama imekuja kuisha daud alipoiteka jerusalem na kuifanya mji mkuu.
 
You are not mwanazuoni as you said and you distance yourself from quoting Qu'ran? So why quote Bible for that reason? Are you Bible expert?

Wewe ni mchonganishi and you know that. There are tons of things that depend on faith and you think copy and paste will make you a hero?. The Exodus itself is full of miracles and only those who have faith will understand and agree same goes to all other religious claims. You want the evidence of how did Red sea split 3300 years ago?
ha ha ,naona kumbe nimekukamata hasa...okay bible ni somo ambalo nimefundishwa darasani na kulifanyia National exam,apart from that nimesoma shule ya kikristo ambako kuhudhuria church ilikua lazima si ombi,so i know.
 
Biblia inaeleza vizuri ukizingatia ni watu nadhani wanne kati wanawaisrael waliotoka misri ndiyo walifika kanani.
 
Huyu mungu ulomuelezea hapa anaonekana ni mkatili sana

Na mwisho wa nyakati nafsi yako itachomwa moto mkali ambao hujawahi hata kuufikiria. Una uamuzi wa kumtumikia "mungu wako asiye mkatili sana" atakayekuruhusu ufanye dhambi zote uzijuazo bila consequenses. Nadhani unamjua Lucifer na anakuhitaji kujenga jeshi lake.
 
Miaka io 40 ni ilikua ya shida na tabu nchini Misri ambako palikua UTUMWANI
 
You are not mwanazuoni as you said and you distance yourself from quoting Qu'ran? So why quote Bible for that reason? Are you Bible expert?

Wewe ni mchonganishi and you know that. There are tons of things that depend on faith and you think copy and paste will make you a hero?. The Exodus itself is full of miracles and only those who have faith will understand and agree same goes to all other religious claims. You want the evidence of how did Red sea split 3300 years ago?
we jamaa bana,sasa copy na paste ina matatizo gani?.si ndo inarahisisha badala ya kuwasilisha kwa kutype you just copy and paste ya article unayotaka kuiwasilisha,after reading and understanding it ofcource,so what is the problem there?.au unataka vidole viote sugu kwa kutype?
 
ha ha ,naona kumbe nimekukamata hasa...okay bible ni somo ambalo nimefundishwa darasani na kulifanyia National exam,apart from that nimesoma shule ya kikristo ambako kuhudhuria church ilikua lazima si ombi,so i know.

Umejikamata mwenyewe. Who told you that Bible ni somo? National examination ilikuwa ya somo la Bible au Divinity?

There's a difference between someone being studied for being a Bible expert or just interesting and worthy of note on the timeline of some narrative. Copying and paste links and long texts from the internet is purely result of ha ha! Where is your own thorough thoughts and results of digested information?
 
You are not mwanazuoni as you said and you distance yourself from quoting Qu'ran? So why quote Bible for that reason? Are you Bible expert?

Wewe ni mchonganishi and you know that. There are tons of things that depend on faith and you think copy and paste will make you a hero?. The Exodus itself is full of miracles and only those who have faith will understand and agree same goes to all other religious claims. You want the evidence of how did Red sea split 3300 years ago?

Hahahahaaa .....!!
 
okay,nadhani ni kweli kuwa mwanzoni musa ndo kaanzisha mapigano na soon after akaambiwa apande kilima aione nchi ya ahadi,kisha akafa.hapa swali ni kuwa miaka 40 imetimia baada ya musa kufa na joshua kukamata madaraka ama imekuja kuisha daud alipoiteka jerusalem na kuifanya mji mkuu.

Huwezi kuamini vitu nusu nusu. If there was no Exodus and Musa didnt exist as well ni fictional figure au umesahau huyu Musa ndio kiongozi wa safari hiyo? Hujiamini katika arguments zako? Umesema dakika 30 tu kutoka Eqypt na kufika Canaan sasa unayumba yumba nini! Wewe ni mpotoshaji. Simamia unachosema. Say it with you chest!!
 
wewe ni christian extremist,unadhani hapa ni kanisani kuwa hutakiwi kuongea kinyume na unachoamini?.elewa hapa tunadeal with open and clear mind wala hatubanwi eti nikihoji hivi ntafanya dhambi.

Hebu chukua na hii toka gazeti la israel ndo ujue kuwa watu siyo ma religious hardliner kama wewe.

The reality is that there is no
evidence whatsoever that the
Jews were ever enslaved in
Egypt. Yes, there's the story
contained within the bible itself,
but that's not a remotely
historically admissible source. I'm
talking about real proof;
archeological evidence, state
records and primary sources. Of
these, nothing exists.
It is hard to believe that 600,000
families (which would mean
about two million people)
crossed the entire Sinai without
leaving one shard of pottery (the
archeologist's best friend) with
Hebrew writing on it. It is
remarkable that Egyptian records
make no mention of the sudden
migration of what would have
been nearly a quarter of their
population, nor has any evidence
been found for any of the
expected effects of such an
exodus; such as economic
downturn or labor shortages.
Furthermore, there is no
evidence in Israel that shows a
sudden influx of people from
another culture at that time. No
rapid departure from traditional
pottery has been seen, no record
or story of a surge in population.
In fact, there's absolutely no
more evidence to suggest that
the story is true than there is in
support of any of the Arab
world's conspiracy theories and
tall tales about Jews.
So, as we come to Passover 2012
when, thanks to the “Arab
Spring,” our relations with Egypt
are at a nearly 40 year low, let us
enjoy our Seder and read the
story by all means, but also
remind those at the table who
may forget that it is just a
metaphor, and that there is no
ancient animosity between
Israelites and Egyptians. Because,
if we want to re-establish that
elusive peace with Egypt that so
many worked so hard to build,
we're all going to have to let go
of our prejudices.
Josh Mintz is completing his
degree in International Relations
and Middle Eastern studies and is
the communications director at
Friend a Soldier, an NGO that
encourages dialogue with IDF
soldiers.
To get the latest from Haaretz
Follow @haaretzcom
 
we jamaa bana,sasa copy na paste ina matatizo gani?.si ndo inarahisisha badala ya kuwasilisha kwa kutype you just copy and paste ya article unayotaka kuiwasilisha,after reading and understanding it ofcource,so what is the problem there?.au unataka vidole viote sugu kwa kutype?

Unaogopa sugu kwa kutype lakini unataka Christian archaeologists waende jangwani wakae miaka wakitafuta na kuchimba mchanga udongo na miamba kutafuta mabaki ya evidence ya safari ya miaka elfu tatu iliyopita kwa sababu Bible unayoiquote kila mara huiamini? We have a serious problem here.
 
Huwezi kuamini vitu nusu nusu. If there was no Exodus and Musa didnt exist as well ni fictional figure au umesahau huyu Musa ndio kiongozi wa safari hiyo? Hujiamini katika arguments zako? Umesema dakika 30 tu kutoka Eqypt na kufika Canaan sasa unayumba yumba nini! Wewe ni mpotoshaji. Simamia unachosema. Say it with you chest!!
msimamo wangu kuwa ni nusu saa kutoka misri kwenda israel uko palepale kwa kigezo kuwa zinapakana.

Kutoka hapo mpaka wa sinai kuingia israel ukivuka mpaka kuna umbali gani?.
Ama ukiingilia pale rafah crossing inakuchukua dakika ngapi kuingia gaza na kuchepukia israel?
 
Unaogopa sugu kwa kutype lakini unataka Christian archaeologists waende jangwani wakae miaka wakitafuta na kuchimba mchanga udongo na miamba kutafuta mabaki ya evidence ya safari ya miaka elfu tatu iliyopita kwa sababu Bible unayoiquote kila mara huiamini? We have a serious problem here.
christian achaelogist wameshachimba kote na ndo wanasema,THERE IS NO EVIDENCE.
 
wewe ni christian extremist,unadhani hapa ni kanisani kuwa hutakiwi kuongea kinyume na unachoamini?.elewa hapa tunadeal with open and clear mind wala hatubanwi eti nikihoji hivi ntafanya dhambi.

Ongea kama mtu aliyejiridhisha na anayeleta mawazo yake sio kuokota vipande kama mtu aliyeijua internet leo. Wapo wengi wanaweka mawazo yao na hata kama hawaamini dini yoyote yanakuwa na msingi lakini wewe ni mpotoshaji. Jibu maswali kama kweli una nia ya kuona sababu ya msingi ya safari ya miaka arobaini. Au umeishiwa? Sioni unachohoji zaidi ya kujaribu kupotosha.

Mipaka ya Israel na Egypt ya sasa ndivyo ilivyokuwa miaka 3300 iliyopita?
 
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.

Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?

Mkuu hata kwnye Koran, umbali mfano wa dar to Kibaha, ilikua huruhusiwi kufunga, lakini siku izi Dar to Mwanza na watu wanafunga tu.
 
Back
Top Bottom