Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Namba 40 kwenye biblia inatumiaka kuonyesha Siku au miaka Mingi lakini si moja kwa Moja ni 40 kama namba inavyosomeka.
Itasemwa waisrael walitembea Miaka 40, yesu alifunga siku 40, na mpaka Sasa utaona mtoto akizaliwa Siku ya 40 hutolewa, mtu akifa kunakua na 40 yake na hata pasaka kwa wa RC huwa baada ya siku 40, pentekoste pia wayahudi huadhimisha siku 40 baada ya pasaka.
Kwahiyo namba 40 si arobaini Kama namba bali huonyesha siku Ngingi Za mahangaiko na mateso ambazo baada ya kwisha faraja hupatikana.
Kwahiyo usichukue 40 kama ilivyo inawezekana wana Wa Israel hawakutembea miaka 40 yote hiyo ila ili kutilia mkazo inafumika namba 40
 
Kutoka Misri kwenda israel ni mwendo wa siku moja. Ila ulikuwa ni mpango wa mungu.
Kule kuuliza kuna umbali gani kutoka Misri kwenda Israel ni sawa na kuuliza kuna umbali gani kutoka Tanzania kwenda Kenya au kuna umbali gani kutoka Tanzania mpaka Zambia wakati nchi zimepakana!!!!!!!!!!!!! Umbali ni zero kilometers!
 
Wangeweza kutumia siku 8 kuingia nchi hii. Lakini njia hii ilikuwa na maadui wengi na vikwazo vingi. Wangeweza kukata tamaa njiani. Lakini Mungu akawazungusha toka bara sini kuuzuka mlima Sinai ambapo kulikuwa na maadui wachache na vikwazo vichache. Pia Mungu alitaka kukichuja kizazi kilichozoea ibada za miungu Misri awatakase ili nchi ya ahadi kiingie kizazi kipya. Hata hivyo historia na urithi havipotei, walirejea ibada hizi za sanamu. Mungu akawapa waamuzi(soma the book of judges). Waliasi, wakapewa mtetezi kila mara. Kitaalam tunaita apostance circle(kuasi na kurejea kwa Mungu). Wabillah Tawfiiq.
hivi hao maadaui walikuwa ni binadamu au vipi?
kwanini sasa Mungu awaogope viumbe alio waumba mwenyewe? mpaka ikawa hivyo? why?
 
Kule kuuliza kuna umbali gani kutoka Misri kwenda Israel ni sawa na kuuliza kuna umbali gani kutoka Tanzania kwenda Kenya au kuna umbali gani kutoka Tanzania mpaka Zambia wakati nchi zimepakana!!!!!!!!!!!!! Umbali ni zero kilometers!
Point au hoja hapa ilikuwa ni kwa nini walitumia muda mrefu kiasi hicho kwa umbali mdogo kama huo. Kumbuka walitumia miaka 40. Na inasemekana hawakufika.
 
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.

Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
Sio mbali unawezaenda hata kwa bodaboda
 
Walikaa miaka 400 utumwani
Ili uwe mfalme lazma uwe na miaka 40
Kutawala hautazid miaka 40
Mtoto anatolewa nje siku 40
Matanga na madua yte cku 40
Mwsho wa ujana miaka ni 40
Mvua wkat wa nuhu ilipiga ck 40

So 40 ni special flani hivi tamuuu
 
Misri ya Leo sio Misri ya enzi za Musa, pia haimaanishi kuwa walikuwa wakisafiri kwa miaka yote hiyo, Kuna process kuweza kuachiliwa kutoka mtumwa hadi kwa huru

weka ushahidi wa hayo maneno yako
 
njia yao ilikuwa hii na walikuwa wakiweka kambi za miaka mingi jangwani.

map2.jpg
 
Back
Top Bottom