wisewriter
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 106
- 62
Kasome tena biblia yako ni miaka 400 sio 40/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kali, ni zaidi ya wakurya. Dada yangu faiza foxy njoo uone maajabu ya dunia huku. Njoo na fimbo.ndugu kma ambavyo huyu anashangaa miak 40.kuzini walizin kabla ya ruhusa ya mungu najua itachukuw muda kuerewa ila lugha iliyo tumika ni kupunguza ukari wa maneno.bible inatak uturiv kuierewa mfano
pale walipo.kura tunda mungu aliwapa uerewa wa kijikuta uchi wakaona haibu haibu walimwonea nani.wakat walikuw a wao.pekee? kwanin binadam bible inawaita kizazi cha nyoka?
baada ya kura tunda wakawazaa kain na abel ambao walikuwa wanarana wakauwana
kwaiy ndugu turia utaerewa
usitukane biblia tafadhaliHii hadithi ya miaka 40 umeitoa wapi? Kama ni kwenye biblia basi hicho ni kitabu cha
Riwaya kama vile vya shigongo
Kwa sisi wakristu hili ni FUMBO la IMANI la imani,kulielewa na kulitafakari ni kwa MACHO ya ROHONI si haya ya DAMU na NYAMA!Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
====
Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,
Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,
Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?
Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...
Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu
Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....![]()
Baada ya kuasi wakaambiwa watoto wao ndo watafika maana Mungu alichukiaNikiwaza na kuwazua hii ya Jews kutumia 40 years kutembea toka Egypt hadi Promised Land (Israel) nashindwa kuelewa watunzi wa Bible walikuwa wanataka watu wawaamini vipi.
How does it make any sense Jews spent 40 years to reach a place only 300 miles away?
Hebu tuangalie hii issue mathematically
Kama Mussa angewaongoza Jews kutembea kilometre 30 kwa siku wangetumia siku 20 tu kufika Israel.
Sasa Jews kutumia 40 years inamaana kwa wastani walikuwa wanatembea 0.041kms pekee kwa siku.
Prophet Moses should have been labeled "lazy".......i can't find good answers to explain what was he doing there in the desert that it took so many years to reach the destination only few miles away?
Sidhani kama enzi hizo miaka ilikuwa na 12 months kama sasa, maana hata umri wa walioishi miaka hiyo ni wa kushangaza, mtu anaishi miaka 600!Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.