Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Majibu yoote yapo katika Quran- hayo hapo.. Surat Almaida kuanzia aya ya 20-26

Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.
Maelezo

5_21.GIF

21. Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika. Maelezo

5_22.GIF

22. Wakasema: Ewe Musa! Huko wako watu majabari. Nasi hatutaingia huko mpaka wao watoke humo. Wakitoka humo hapo tutaingia. Maelezo

5_23.GIF

23. Watu wawili miongoni mwa wachamngu ambao Mwenyezi Mungu amewaneemesha, walisema: Waingilieni kwa mlangoni. Mtakapo waingilia basi kwa yakini nyinyi mtashinda. Na mtegemeeni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini. Maelezo

5_24.GIF

24. Wakasema: Ewe Musa! Sisi hatutaingia humo kamwe maadamu wao wamo humo. Basi nenda wewe na Mola wako Mlezi mkapigane. Sisi tutakaa hapa hapa. Maelezo

5_25.GIF

25. Akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika mimi similiki ila nafsi yangu na ndugu yangu. Basi tutenge na hawa watu wapotovu. Maelezo

5_26.GIF

26.(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi nchi hiyo wameharimishiwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga-tanga katika ardhi. Basi wewe usiwasikitikie watu wapotovu. Maelezo

5_27.GIF
 
kwa maelezo ya aya tukufu za Qurani hapo juu, mayahudi walipofika huo mji ulikuwa unakaliwa na watu wengine, Mwenyezi Mungu akamwambia Musa awaambie watu wake (Waisrael) waingie yaani wapigane na hao watu walio kwenye mji huo waliambiwa waingie, na wao waisrael wakahakikishiwa ushindi.

Lakini walikataa kupigana nao wakamwambia Musa aende akapigane yeye na Mola wake halafu wao watakaa kusubiri.

Mwenyezi Mungu akamwambia Musa awaache hivyo hivyo watangetange jangwani kwa miaka 40..

hicho ndo kisa hasa cha wao kukaa miaka 40 (ilikuwa adhabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu) kwa sababu ya ukaidi wao
 
ndugu kma ambavyo huyu anashangaa miak 40.kuzini walizin kabla ya ruhusa ya mungu najua itachukuw muda kuerewa ila lugha iliyo tumika ni kupunguza ukari wa maneno.bible inatak uturiv kuierewa mfano

pale walipo.kura tunda mungu aliwapa uerewa wa kijikuta uchi wakaona haibu haibu walimwonea nani.wakat walikuw a wao.pekee? kwanin binadam bible inawaita kizazi cha nyoka?

baada ya kura tunda wakawazaa kain na abel ambao walikuwa wanarana wakauwana

kwaiy ndugu turia utaerewa
Hii kali, ni zaidi ya wakurya. Dada yangu faiza foxy njoo uone maajabu ya dunia huku. Njoo na fimbo.
 
siku mtu atakapo baki mwenyewe anaelekezwa kibra , maneno yake yatamjia mwenyewe bila kukumbushwa
 
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.

Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?

====

Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,

Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,

Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?

Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...

Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu

Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....
img-20160920-wa0176-jpg.403864
Kwa sisi wakristu hili ni FUMBO la IMANI la imani,kulielewa na kulitafakari ni kwa MACHO ya ROHONI si haya ya DAMU na NYAMA!
 
Nikiwaza na kuwazua hii ya Jews kutumia 40 years kutembea toka Egypt hadi Promised Land (Israel) nashindwa kuelewa watunzi wa Bible walikuwa wanataka watu wawaamini vipi.

How does it make any sense Jews spent 40 years to reach a place only 300 miles away?

Hebu tuangalie hii issue mathematically

Kama Mussa angewaongoza Jews kutembea kilometre 30 kwa siku wangetumia siku 20 tu kufika Israel.

Sasa Jews kutumia 40 years inamaana kwa wastani walikuwa wanatembea 0.041kms pekee kwa siku.

Prophet Moses should have been labeled "lazy".......i can't find good answers to explain what was he doing there in the desert that it took so many years to reach the destination only few miles away?
Baada ya kuasi wakaambiwa watoto wao ndo watafika maana Mungu alichukia

Lkini ukiangalia nyuma Mussa mwenyewe ilimchukua siku kazaa kurudi Misri kuwachukua waisrael
 
Baada ya kuasi wakaambiwa watoto wao ndo watafika maana Mungu alichukia

Lkini ukiangalia nyuma Mussa mwenyewe ilimchukua siku kazaa kurudi Misri kuwachukua waisrael
 
pia ikumbukwe wisrael walikuwa wafugaj na kila sehemu wanaweka kambi mifugo ile na kupata nguvu kitu kinachochukua muda sana. zaid walikuwa hawaijui hiyo nchi ya ahad na walikuwa wakibahatisha ka kufanya makaz kidogo.
 
biblia ni maandko ya kifalsafa,ukitumia akili za kibashite unaweza kusema ilikuwa safari kweli ya kwenda kwa miguu,kumbe lahasha.Ni sawa na kuzani Eva ndo mzambi sana kwa kula tunda la katkati pale Eden,thubutu tunda la kati kati ni fumbo la kifalsafa,ukianza kudadavua unaweza kuandika hata page kadhaa kuelezea akina bashite wakuelewe...
 
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.

Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?

====

Yericko Nyerere
Huwa nasoma maandiko yote yaliyombele yangu, yawe ya wasomi na wanamajumui ama ya wajinga na yakijinga, mimi husoma tu. Hii imenipa uwezo na ujasiri wakuyajua mambo mengi yaliyohifadhiwa kwa maandishi,

Lakini kuna jambo hakika kwa miaka mingi nimekuwa nikiumiza akili yangu bila kupata jibu, nimejaribu kuzama kiroho imeshindikana, nimejaribu kuzama kihistoria imeshindikana,

Umbali kati ya Misri na Israel ni km 613, kwamjibu wa Biblia inasema wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40, inamana kila siku walisafiri mita 43?

Mafanikio ya binadamu duniani hutazamiwa afikapo miaka 18-40. Inaelezwa kwamba huo ndio mwenendo pia wa mafanikio ya taifa...

Wanamajumui wanasema ukizidi umri huo wewe uwe unatafuta hela ya kula tu, utajiri na hekima utavisikia tu

Wachungaji naomba msaada wa ufunuo hapa hapa....
img-20160920-wa0176-jpg.403864
Sidhani kama enzi hizo miaka ilikuwa na 12 months kama sasa, maana hata umri wa walioishi miaka hiyo ni wa kushangaza, mtu anaishi miaka 600!
 
Tambua kwamba swala la waisrael Kutolewa utumwani ilikuwa ni ahadi ya Mungu kwa Ibrahim kkwamba "uzaowako utakaa utumwani kwa miaka 400 kisha nitawakomboa" so hiyo ilikuwa ni ahadi ya Mungu kwa Ibrahim sio kwa waisrael on that time who were tortured in Egypt kwakuwa MUNGU Akiahidi kitu lazma akitimize kwa namna yoyote ile ndomana akawatoa utumwani
Pia kuhusu kuwapitisha safari ya miaka40 ni kwasababu zfuatazo:
1/kizazi kile hakikumjua Mungu wa babazao kina Ibrahim Isaka na Yakobo ni wanamna gani japo walimsikiasikia tu so Mungu alitaka kuwaonyesha uwezo wake ni mkuu kiasi gani ndomana aliigawa bahari mbele yao alishusha mana aliwaletea ndege wa angani ili wale aligeuza maji machungu kuwa matamu alitindisha maj mto yordani aliwapiga maadui zao mbele yao.
2/ alitaka awafundshe jinsi yakumwabudu yeye na jinsi yakumkaribia yeye pia.
3/ilikuwaepusha na njia ya hatari ilojaa maadui zao.
 
Nadhani '40' ni msemo wa wa-Israel kuonyesha kua ugumu wa Jambo au muda wa kutosha nk! Kuna maelezo mengi sana kwenye Bibilia yanayozungumzia '40 ' hata Yesu alifunga siku arobaini Mchana na usiku, na katika kufunga huko alikataa kabisa ushawishi wa shetani ambae alitaka atumie Mamlaka yake ya Kimungu ili kuondolea mbali shida alizokua anapata kama binaadamu . Bado swali linakua Binaadamu aliwezaje kukaa siku 40 bila kula?
 
Umbali kutoka misri hadi israel ni hatua chache tu,kwani hizo nchi zinapakana ,kwahiyo hamna umbali wowote.
Pia kipindi hicho eneo lote lilikuwa chini ya miliki ya wamisri,means story ya akina moses ni hekaya,it never happened
 
Back
Top Bottom