Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila c kwa miaka 40Majibu ni mengi
(1) kama wangekwenda moja kwa moja wangepoteza maisha hawakujua vita hata silaha hawakuzijua kumbuka israel ilikuwa na mataifa mengine ndani wasingekaribishwa pasipo kushinda vita
(2) Mungu aliwafundisha kumtegemea kwa kila jambo hawakujua kulima hata chakula kilitoka mbinguni
(3)kumbuka walikuwa zaidi ya watu laki moja sasa kuna waliokuwa wanazaa njiani hivyo wanaweka kambi,hivyo hivyo kwa mifugo yao
(4)hata njia iliwapasa kusubiri wingu na nguzo ya moto iwaongoze wakikorofishana na Mungu watakaa hapo mpaka wapatane nae.hawakujua njia ya kufika huko
Wewe umeongeabiblia ni maandko ya kifalsafa,ukitumia akili za kibashite unaweza kusema ilikuwa safari kweli ya kwenda kwa miguu,kumbe lahasha.Ni sawa na kuzani Eva ndo mzambi sana kwa kula tunda la katkati pale Eden,thubutu tunda la kati kati ni fumbo la kifalsafa,ukianza kudadavua unaweza kuandika hata page kadhaa kuelezea akina bashite wakuelewe...
Na kile kitabu kingine kilichoandika ni cha udakuuHii hadithi ya miaka 40 umeitoa wapi? Kama ni kwenye biblia basi hicho ni kitabu cha
Riwaya kama vile vya shigongo
Hahahaa du hapo sasaUzuri kipindi chetu ushahidi wa video/picha na sauti vyote vipo...mazuzu yaliyotufikisha hapa yatakuwa handpicked. ..
Ni kweli kabisa, Biblia ni instructive book na mengi ni masimulizi ya kimapokea (myth) ili kuwafunza na kuwaelekeza namna bora ya wana wa israeli kuishi.Wewe umeongea
Huyo labda ni mkurya wa kolomije sisi tunamkana. Dah si kwa hizo r kwa kweli. Nitafatilia kwa undani.Hahahahaaaa teh teh...jamaa ni nouma.atakua anaripoti kutokea Tarime
Mapiramidi yapo mpaka nchi za Amerika kusini na ni mengi tuMpaka Sudan na kote huko kuna mapiramidi
Tatizo la kukumbatia dini za kimapoieo na kuacha imani zenu za jadi kwa kuwa tu tuliambiwa ni za kishenzi, ni upagani. Haya ndo matokeo yake na ni mojawapo ya sababu za umaskini na ujinga wa waafrika. Kupoteza muda makanisani wakimuomba Mungu awaletee mvua mtera ijae ili umeme uwake, shenzi zetu kabisa, wakati waarabu ni jangwa na wana umeme, wenzetu weuoe wanatimiza wajibu wao na simkumuachia na kumsumbua Mungu kila siku. Watu kwa wiki wanapoteza siju 3 hadi 4 wakisali badala ya kuwajibika. Alafu mnazuia maandamano na kuwaacha watu wakijiongezea umaskini kwa kushindia makanisani. Sisi ni viumbe wa ajabu kweli kweli. Tunashindwa kuelewa kuwa biblia ni masimulizi ya kimapokeo tu na ulimwengu wa sasa kuna ambayo sio valid tena. Bado mtu anaamini kuwa Yesu alikuwa mwana wa Mungu wakati bikiara maaria alipewa ujauzito na askari wa Rumi, Joseph akaamua tu kumtunzia heshima na kumuepusha na adhabu ya kifo. Endeleeni kupoteza muda naenda shambani.Very interesting. Kuna njia fupi Sana toka Egypt mpaka Israel. Haps kwenye ramani inaonekana walizunguka Sana! Kuna wakati walikua wanarudia tena kule walikotokea kisha wanaendelea. Walikua vipofu au?
The rtNadhani '40' ni msemo wa wa-Israel kuonyesha kua ugumu wa Jambo au muda wa kutosha nk! Kuna maelezo mengi sana kwenye Bibilia yanayozungumzia '40 ' hata Yesu alifunga siku arobaini Mchana na usiku, na katika kufunga huko alikataa kabisa ushawishi wa shetani ambae alitaka atumie Mamlaka yake ya Kimungu ili kuondolea mbali shida alizokua anapata kama binaadamu . Bado swali linakua Binaadamu aliwezaje kukaa siku 40 bila kula?
Nadhani '40' ni msemo wa wa-Israel kuonyesha kua ugumu wa Jambo au muda wa kutosha nk! Kuna maelezo mengi sana kwenye Bibilia yanayozungumzia '40 ' hata Yesu alifunga siku arobaini Mchana na usiku, na katika kufunga huko alikataa kabisa ushawishi wa shetani ambae alitaka atumie Mamlaka yake ya Kimungu ili kuondolea mbali shida alizokua anapata kama binaadamu . Bado swali linakua Binaadamu aliwezaje kukaa siku 40 bila kula?
Nadhani '40' ni msemo wa wa-Israel kuonyesha kua ugumu wa Jambo au muda wa kutosha nk! Kuna maelezo mengi sana kwenye Bibilia yanayozungumzia '40 ' hata Yesu alifunga siku arobaini Mchana na usiku, na katika kufunga huko alikataa kabisa ushawishi wa shetani ambae alitaka atumie Mamlaka yake ya Kimungu ili kuondolea mbali shida alizokua anapata kama binaadamu . Bado swali linakua Binaadamu aliwezaje kukaa siku 40 bila kula?
W tNadhani '40' ni msemo wa wa-Israel kuonyesha kua ugumu wa Jambo au muda wa kutosha nk! Kuna maelezo mengi sana kwenye Bibilia yanayozungumzia '40 ' hata Yesu alifunga siku arobaini Mchana na usiku, na katika kufunga huko alikataa kabisa ushawishi wa shetani ambae alitaka atumie Mamlaka yake ya Kimungu ili kuondolea mbali shida alizokua anapata kama binaadamu . Bado swali linakua Binaadamu aliwezaje kukaa siku 40 bila kula?