mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwa mungu yote yanawezekana
Mbona hauulizi.mungu aliwezaje kuumba mbingu na ardhi kwa siku sita?
Mbona hauulizi.mungu aliwezaje kuumba mbingu na ardhi kwa siku sita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mada ilishajadiliwa humu kitambo omba moderators wakusaidie kuipata, Unaleta mada ambayo humu imejadiliwa sana acha kuleta story za whatsapp group humu JF, Tafuta jukwaa soma hiyo story yako ipoUmbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi.
Huu ni wastani wa kilomita 15 kwa mwaka, sawa na kilomita 1.25 kwa mwezi.
Hii ni sawa na mita 42 tu kwa siku, yani umbali nusu ya uwanja wa mpira.
Hii ni sawa na mita 21 kwa masaa 6(tukichukulia kua siku ilikua ni masaa 12 ya mchana pekee na usiku walikua wanalala)
Ni sawa na mita 10.5 kwa masaa 3(yani urefu wa penalti) kwa masaa 3.
Katika hali ya kawaida na katika historia watu wa kale walikua majabali(giants), ambao unbali wa mita 10.4 ni saww na hatua zake 3.
Nashindwa kuelewa, ina maana walikua wanapiga hatua moja kwa saa moja, kitu ambacho hata konokono tu atavuka huo umbali kwa saa moja.
Hizi hesabu nyie mnazielewa?
Wacha tuijadili tena huo muda mrefu wengine hatukufanikiwa kujadiliHii mada ilishajadiliwa humu kitambo omba moderators wakusaidie kuipata, Unaleta mada ambayo humu imejadiliwa sana acha kuleta story za whatsapp group humu JF, Tafuta jukwaa soma hiyo story yako ipo
Mbona majibu yapo wazi tu, tatizo watu hawatafakari wanaposoma biblia wanadhani unasoma kama unavyosoma vitabu vya darasani.Kwa mungu yote yanawezekana
Mbona hauulizi.mungu aliwezaje kuumba mbingu na ardhi kwa siku sita?
Eh yamekuwa hayo tena?? Kwani ulichokisema ni sehem ya jibu au inatusaidiaje kufikia jibu??
Kama walikua wanazunguka zunguka tu jangani, maana yake hawakua na kiongozi, hawakua wanajua wanaenda wapi. Lakini Biblia inasema Mungu alikua anawaongoza na kumuelekeza Musa njia salama ya kupita, je Mungu ndio alikua anawaongoza kuzunguka zunguka na kuzurula jangawani bila malengo au uelekeo wowote?Kwanza hizo stories hakuna wa kuzithibitisha.
Pili, usi assume kwamba walisafiri moja kwa moja, ukizunguka zunguka jangwani safari ya siku moja inaweza kutumia siku mia moja.
Ila Biblia inadai kua Mungu ndio alikua anawaongoza, au yeye pia hana au hakua na compass na hakujua alikua anawaingoza kuelekea wapi, au alikua anawaongoza njia ya uongo kwa maksudi?Hawakua na compass huko jangwani inawezekana walipotea njia wakatangatanga kwa miaka kadhaa huku wakitia kambi hapa na pale kwa miaka kadhaa
1. Mimi siamini kwamba habari hizo ni factual. Siamini kwamba hata huyo Mungu yupo. Kwa hiyo huu si utetezi. Ni logical explanation kwamba habari ya wao kuzunguka haiko logically inconsistent. Naelezea biblia kama plot ya Shakespeare.Kama walikua wanazunguka zunguka tu jangani, maana yake hawakua na kiongozi, hawakua wanajua wanaenda wapi. Lakini Biblia inasema Mungu alikua anawaongoza na kumuelekeza Musa njia salama ya kupita, je Mungu ndio alikua anawaongoza kuzunguka zunguka na kuzurula jangawani bila malengo au uelekeo wowote?
Tumia Magajizuto kaka,Umbali kutoka Misri kwenda Israel ni kilomita 623 tu. Lakini Musa na kundi lake (wana wa Israel) walitumia miaka 40 kutembea hadi kufika nchi ya ahadi.