holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
Biashara imekuwa biashara, tuna maliza mpaka miezi kadhaa hatuonani.
Juzi nimekuta kanipigia simu , nikasema nimpigie Mama mtoto wangu, daah...! anapokea simu ananambia "ulikua unasemaje" , nikaikata simu mara moja.
Bora tumeachana kabla hatujaoana tume epusha mengi.Sasa hivi bora ni deal na Mishangazi yangu tu.
Mkiona mahusiano yanaanza kuleta mapicha picha ni heri kukaa nayo kando na kufanya mambo mengine ya msingi.