Umbali umeniachanisha na Mchumba wangu

Umbali umeniachanisha na Mchumba wangu

Wakuu msiseme hivo mnanitia wasiwasi, kwa sasa niko Dom kikazi na yeye yuko mkoani na kurudi nyumbani ni baada ya siku 21 na leo ni siku ya 3, hapo vipi na mimi watapita naye wasela
Mwanamke anatongozwa sana unakuta kwa siku hata wanaume 10 wamemtongoza kwa hyo ni ngumu kuwakataa wote na ukizingatia upo mbali nae
 
Katika mazingira ya kibongo, distance ni number one killer wa mahusiano. Jitahidi sana uwe close na mwenzio close, else ni suala la muda
Distance haojawahi kuwa haitowahi kua rafiki wa mahusiano
Ndoa or not
Distance ni mtihani mzuri wa kupima uimara wa mahusiano yenu maana pale mtu anapokuwa mbali na bado ukaona ni bora zaidi kwako kuliko hizo hisia na sex za ghafla, hapo ndipo utamtambua kama THE ONE. Hivyo, Kama distance inaweza kuyaua mahusiano yako bhasi hayajawahi kuwa na uhai tokea mwanzo.

Kama mapenzi yenu ni hadi mgandane na kulindana bhasi ni kitu temporary tu kinachosubiri sababu za kuisha na lazma kiishe
 
Mazingira yako si yamejaa wanawake, huko mbali unatafuta nini mkuu.. binafsi hata Bunju-Chanika tu sitaki, au Mbezi-Mbagala. Raha yake umuibukie anytime, yaani unaweza kutoka Jo mkakutana mahali na kufurahia uumbaji na mengine. Life's short to stress yourself too much.
 
Kitendo cha kuleta mada hapa inaonekana hujamove on,,, Be Gentle!
 
Acha utoto Cha mbali SIO Cha kwako halafu mwanamke ni mwanamke Tena wapo wengi usiwaze sana kua mtu mzima start a new chapter
 
Back
Top Bottom