Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Au hujawai kulijua hilo?Wacha bwana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au hujawai kulijua hilo?Wacha bwana!!
Kumbe ndio maana una dipresheni🤣Au hujawai kulijua hilo?
Pole sana kiongozi. Hilo neno alilotumia sio zuri kwa afya ya mahusiano. Yani ni bora mtu asipokee simu kuliko kukwambia hivyo!.Biashara imekuwa biashara, tuna maliza mpaka miezi kadhaa hatuonani.
Juzi nimekuta kanipigia simu , nikasema nimpigie Mama mtoto wangu, daah...! anapokea simu ananambia "ulikua unasemaje" , nikaikata simu mara moja.
Bora tumeachana kabla hatujaoana tume epusha mengi.Sasa hivi bora ni deal na Mishangazi yangu tu.
Mkiona mahusiano yanaanza kuleta mapicha picha ni heri kukaa nayo kando na kufanya mambo mengine ya msingi.
Sinaga dipresheni 😂Kumbe ndio maana una dipresheni🤣
Umbali wenyewe ndiyo talaka mkuu.Biashara imekuwa biashara, tuna maliza mpaka miezi kadhaa hatuonani.
Juzi nimekuta kanipigia simu , nikasema nimpigie Mama mtoto wangu, daah...! anapokea simu ananambia "ulikua unasemaje" , nikaikata simu mara moja.
Bora tumeachana kabla hatujaoana tume epusha mengi.Sasa hivi bora ni deal na Mishangazi yangu tu.
Mkiona mahusiano yanaanza kuleta mapicha picha ni heri kukaa nayo kando na kufanya mambo mengine ya msingi.
Thubutuuuuu🤣🤣🤣Sinaga dipresheni 😂
Siyo wewe tu..
Mahusiano ya mbali ni changamoto
Mahusiano ya mbali ni chanzo Cha nyeto
Mahusiano ya mbali ni chanzo Cha magonjwa
Sasa wenzako wanakuambia kuwa kama mnapendana kweli mahusiano ya mbali siyo kizuizi bali yanaongeza hamu ya kuwa pamoja NB: yasiwe ya mbali kwa muda mrefu kuzidi.Siyo wewe tu..
Mahusiano ya mbali ni changamoto
Mahusiano ya mbali ni chanzo Cha nyeto
Mahusiano ya mbali ni chanzo Cha magonjwa
Great wisdomDistance ni mtihani mzuri wa kupima uimara wa mahusiano yenu maana pale mtu anapokuwa mbali na bado ukaona ni bora zaidi kwako kuliko hizo hisia na sex za ghafla, hapo ndipo utamtambua kama THE ONE. Hivyo, Kama distance inaweza kuyaua mahusiano yako bhasi hayajawahi kuwa na uhai tokea mwanzo.
Kama mapenzi yenu ni hadi mgandane na kulindana bhasi ni kitu temporary tu kinachosubiri sababu za kuisha na lazma kiishe
Shukrani brother 🙏🏽Great wisdom
OkSasa wenzako wanakuambia kuwa kama mnapendana kweli mahusiano ya mbali siyo kizuizi bali yanaongeza hamu ya kuwa pamoja NB: yasiwe ya mbali kwa muda mrefu kuzidi.
OkNgojea niseme Kitu kidogo kinaweza kikakusaidia sana Mkuu na kubadilishana mtazamo na msimamo wako Kuhusu MAISHA ya mahusiano Why? B'SE tumepewa KUISHI Lakini tumefichwa theory ya kuishi ( i.e tunatenda Lakini hatujua tunachokitenda👉kuishi ni kutenda) Ndio maana mahusiano hayaeleweki na kibaya Zaidi mahusiano Ndio Msingi wa kuishi Kwetu B'se tuliumbwa ili tuhusiane firstly with our almighty GOD na ili tuhusiane na wake na waume na ili tuhusiane na Ndugu jamaa na marafiki na majirani Kwaiyo utaona Kwamba maisha ni kuhusiana
Unaempenda kwawe Hawezi kuwa mbali Mkuu hata awe ulaya na wala muda hauwezi kuuathiri huo UPENDO Why? Kwasababu UPENDO upo nje ya kila kitu ukiwepo muda, UPENDO upo nje ya space/nafasi, UPENDO upo nje ya Mambo Kwaiyo hakuna kinachoweza kuathiri hali inayoitwa 👉 UPENDO never
Kuna confusion kidogo Dunia inachanganya hizi hali mbili UPENDO na MAPENZI, ni vitu viwili tofauti kabisa ni mbingu na nchi ila vinaweza kuwepo SEHEMU moja kwa utaratibu maalumu
Mapenzi ni hali ya ukalibu wa miili hi ya nyama na DAMU na kama ni hivyo basi yanahusiana na vitu vinavyoambatana na miili ya Nyama na damu 👉 miili hi ya nyama na DAMU ni base time Yaani ni ya muda tu, itafika wakati utaexpire na kuludi mavumbini Ndio maana Mahali ambapo pana mapenzi utakuta vitu ambavyo si vya kudumu milele Yaani vya muda Ndio vimetawala kwasababu Msingi wa mapenzi 👉mwili ni wa muda hivyo huambatana na vitu vya muda vya kuonekana kwa macho ya nyama na damu
Umeona hapo juu Msingi wa MAPENZI ni UKALIBU WA MIILI YA NYAMA NA DAMU hivyo MIILI ikienda mbali uwe na uhakika na Mapenzi yataenda mbali i.e yataisha kwasababu Msingi wake ni miili hivyo miili ikiwa mbali Lazima Mapenzi yataathirika 😁
Ila UPENDO hauathiriwi na umbali kamwe, unaempenda atakuwa karibu kila wakati haijalishi umbali wa miili hi ya nyama na damu b'se upendo hauna kikwazo wala kizuizi kinachoweza kuuzuia, ukiwepo tu mahali upo na utakuwepo na wala hauna quantity 📌
Kuna miujiza apostleKumetokea Nini Mtumishi
Kweli sitanii sinaga izo mambo mbaya 😂Thubutuuuuu🤣🤣🤣
Hapa ndipo ninapoipendea jf utashauriwa ujinga na kukatishwa tmaa mpka utatamani utoke mazima lkn ukiwa mvumilivu utakutana tu na ushauri au mawazo yakueleweka na yenye maana km hayaDistance ni mtihani mzuri wa kupima uimara wa mahusiano yenu maana pale mtu anapokuwa mbali na bado ukaona ni bora zaidi kwako kuliko hizo hisia na sex za ghafla, hapo ndipo utamtambua kama THE ONE. Hivyo, Kama distance inaweza kuyaua mahusiano yako bhasi hayajawahi kuwa na uhai tokea mwanzo.
Kama mapenzi yenu ni hadi mgandane na kulindana bhasi ni kitu temporary tu kinachosubiri sababu za kuisha na lazma kiishe