BalaaAcha tu
Katika mazingira ya kibongo, distance ni number one killer wa mahusiano. Jitahidi sana uwe close na mwenzio close, else ni suala la mudaBiashara imekuwa biashara, tuna maliza mpaka miezi kadhaa hatuonani.
Juzi nimekuta kanipigia simu , nikasema nimpigie Mama mtoto wangu, daah...! anapokea simu ananambia "ulikua unasemaje" , nikaikata simu mara moja.
Bora tumeachana kabla hatujaoana tume epusha mengi.Sasa hivi bora ni deal na Mishangazi yangu tu.
Mkiona mahusiano yanaanza kuleta mapicha picha ni heri kukaa nayo kando na kufanya mambo mengine ya msingi.
Mchumba wako hawezi kukwepa vishawishi hata uwe nae karibu atasuguliwa tuBiashara imekuwa biashara, tuna maliza mpaka miezi kadhaa hatuonani.
Juzi nimekuta kanipigia simu , nikasema nimpigie Mama mtoto wangu, daah...! anapokea simu ananambia "ulikua unasemaje" , nikaikata simu mara moja.
Bora tumeachana kabla hatujaoana tume epusha mengi.Sasa hivi bora ni deal na Mishangazi yangu tu.
Mkiona mahusiano yanaanza kuleta mapicha picha ni heri kukaa nayo kando na kufanya mambo mengine ya msingi.
kabisa , hua na shangaa wale unakuta mmoja yupo Dar kikazi mwingine Mwanza 😂Katika mazingira ya kibongo, distance ni number one killer wa mahusiano. Jitahidi sana uwe close na mwenzio close, else ni suala la muda
Distance haojawahi kuwa haitowahi kua rafiki wa mahusiano
Ndoa or not
Kwani lazima uwe na mishangazi😂😂huwezi kuwa mwenyewe na ww?Biashara imekuwa biashara, tuna maliza mpaka miezi kadhaa hatuonani.
Juzi nimekuta kanipigia simu , nikasema nimpigie Mama mtoto wangu, daah...! anapokea simu ananambia "ulikua unasemaje" , nikaikata simu mara moja.
Bora tumeachana kabla hatujaoana tume epusha mengi.Sasa hivi bora ni deal na Mishangazi yangu tu.
Mkiona mahusiano yanaanza kuleta mapicha picha ni heri kukaa nayo kando na kufanya mambo mengine ya msingi.
Asantepole na wewe kijana
Hata mkiwa mkoa mmoja ila mitaa tofauti ujue tayari kinanuka muda wowote
😅