Umbali umeniachanisha na Mchumba wangu

Pole sana mkuu ila hiyo response sio kabisa, mimi nna wangu tangu nishift mkoa niliona kaanza mapicha picha, mawasiliano yakapungua ananitafuta na anarespond akiwa na uhitaji wa hela tu na namtumia. Nikaona ndio kashafanya ndio utaratibu nikaacha kurespond, kwasasa imekatika mwezi na zaidi sirespond kwa chochote.

Ukiona mtu haeleweki dawa ni kumpotezea.
 
pole na wewe, mimi wangu tokea kaanza biashara kawehuka kabisa .Ngoja aende bna .
 
Sio kipimo kizuri mkuu. Hatutest sumu kwa kuilamba.
 
🤣🤣🤣🤣 Dipresheni lazima ziwaueeeee!
Na hatutokufa kwa dipresheni, tukiwa mbali najizima data tukitafutana mbona fresh tu na tusipotafutana pia ni sawa ila tukikutana n kama tulikuwa tunaishi wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…