Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Hahahahaha..sawa sawa imekaa vzr ,tatizo linakuja leo una msave my nini huko...baada ya muda mnaachana..unafuta namba...unapata mwingine una save tena my nini huko....hahahaha
Huyu ndio mtu wa kwanza kumsave kwa majina hayo katika simu yangu, kaka mzuri ni exceptional.
 
Back
Top Bottom