Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Kuna siku simu ya dada yangu ikawa inaita na jina limeseviwa KUBWA JINGA ajabu alipopokea kumbe ni mumewe ndo kaseviwa hivyo aisee wanawake!!
 
Back
Top Bottom