Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza

Je umesev vipi jina la kipenzi chako?


😊 good night african beauty Bantu Lady
Nyiewengine lolote liwakute😅
Sasa mimi Sina mpnzi wala mwandani nawezaje kusavi madanga
 
Nadhani suala la namna ya kuseviwa kwenye Kitabu cha Majina ya kwenye simu inaendana na Umri pia

Mkiwa kwenye 20-35 utakutana na Majina mazuri mazuri tu kama Sweetie/Honey/my everything n.k

Mkiwa mwenye 35-45 utakutana na Majina ya Wife/Husband

Mkiwa above 45 utakutana na Majina ya Mama Nanii/Baba nanii/Jina lako full yaani kama ni Grahams ama Nikifa MkeWangu Asiolewe

Kama mna Wazee wenu nyumbani nenda ushike simu ya Baba/Mama yako then jaribu kuipiga namba ya Baba/Mama yako utaona jina linalotoka

Kwasasa Vijana furahieni Majina mazuri mazuri mliyoseviwa ila baada ya kuishi ndoani miaka 10/20/30 ya Ndoa utakuja kuona utakavyokuwa umeseviwa
 
Personally first date huwa namsave "stranger"
Kadri wanavyoongezeka ndo huwa wanapewa namba.utakuta
Stranger 1
Stranger 2
Ilikuwa mpaka stranger 8


Akikaa miez sita tuko kwa pamoja nambadilisha na kumuita
Volume 1
Volume 2
Nk
 
Back
Top Bottom