Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha...nina 51 , na bado nina uwezo wq kuzikumbuka tarakimu hata ziwe ngapiUzee huja na kusahau au bado under 20?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha...nina 51 , na bado nina uwezo wq kuzikumbuka tarakimu hata ziwe ngapiUzee huja na kusahau au bado under 20?
Hahahahaha..basi mnazeeka vby ..mie 51 na bado nashika tarakimu vzr tuKama mi nishaufikia.
Kwa sasa siwezi kukariri namba kumi aisee. 😀
Sio mbaya lakini.Basi tu ni style nayoipenda
YeahSio mbaya lakini.
Heee! Uko vizuri rafiki kumbe tumeshakula chumvi ee. 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️Hahahahaha...nina 51 , na bado nina uwezo wq kuzikumbuka tarakimu hata ziwe ngapi
Hahahahaha...Chumvi za kutoshaHeee! Uko vizuri rafiki kumbe tumeshakula chumvi ee. 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Yap..
Kabiisa.Hahahahaha...Chumvi za kutosha
Mzee mwenzio Grahams anasahau sahau adi kuingia jf. Wewe upo vizuriHahahahaha...nina 51 , na bado nina uwezo wq kuzikumbuka tarakimu hata ziwe ngapi
Mimi tofauti na zangu siwezi na nikiweza ni kwa masaa machache sana.Kama mi nishaufikia.
Kwa sasa siwezi kukariri namba kumi aisee. 😀
Hahahahaha..51 sio mzeeMzee mwenzio Grahams anasahau sahau adi kuingia jf. Wewe upo vizuri
Mnazeeka vbyMimi tofauti na zangu siwezi na nikiweza ni kwa masaa machache sana.
51 sio mzee ? Ni utu uzima sioHahahahaha..51 sio mzee
Bado yanki under 45Mnazeeka vby
Yeah..ni mtu mzima...ukiona 51 mzee huyo ana shida zake51 sio mzee ? Ni utu uzima sio
Hahahahaha..halafu ushaanza kuwa msahaulifu ? We utakua unatumia vitu sivyoBado yanki under 45
Una jidefend vizuriYeah..ni mtu mzima...ukiona 51 mzee huyo ana shida zake