Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Upo sawa mkuu
 
Wapelekee zawadi basi 🙂
Or atleast tell them asante...hata kama umeshafanya hivyo kabla. Waambie na wanaJF tunawapa 🫡 😁
Ahsante nishawaambia sana na zawadi ndogo ndogo kadri nilivyojaliwa ambazo naona bado hazifikii thamani ya walichonipa.

Nawaombea baraka, nazidi kuwapenda na kuwepo wakinihitaji huku nikiwajali kwa kadri ninavyojaaliwa bila kusahau kuwaenzi kwa kurithisha malezi yao kwa future generation. Nawapenda sana na wanajua.
 
MAMA CHANJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…