Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Nimesaviwa “ inseparable❤️💖💖” eeh anajiona amefik kwangu kweli kweli,

Mi nimemsave kwa jina lake tu
Imewah nikuta hi yule manzi alini sev vzr sana
Siku kuja kuona lake alichoka na kuchukia juu
 
Huyu ndo main na yuko humu 😊💯
 

Attachments

  • Screenshot_20240429-223334~2.png
    Screenshot_20240429-223334~2.png
    86.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom