Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina bwana mie. Nasoma tu comments nipate wivu nikalale zangu.Yule brother kelfin ?
Etugrul BeyNmemsevu ertuglu bei
Maana mapanga kama yote😂
1&OnlyMoja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako?
😊 good night african beauty Bantu Lady
Nyiewengine lolote liwakute😅
Settings -phone contacts-block!Sina bwana mie. Nasoma tu comments nipate wivu nikalale zangu.
Nimeshateseka sana nimeshakomaa kwa hayo mateso.😂😂 Hii kichwa kwa sasa imeharibiwa nitakutesa tu.
Mimi huyu!Jina lake, huwa natumia jina halisi iwe kumuita au kuandika.