Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza

Je umesev vipi jina la kipenzi chako?


😊 good night african beauty Bantu Lady
Nyiewengine lolote liwakute😅
Kgb, madondola,gattuso, g.o.a.t, guru, GPS

Baadhi ya majina
 
Aaah yaani nilivyolisevu ni mimi tu naweza jua ni nani 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom