MUNGU hamjaribu mtu, mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa na shetani na Majeshi yake
Barikiwa sana mtumishi.MUNGU hamjaribu mtu,
Ndo maana asema, tuombe asitutie majaribuni.
Ikitokea shetani ametutia majaribuni, au MUNGU ameruhusu shetani atujaribu, tunamwomba Mungu atuokoe katika najaribu hayo.
Aamen
Majaribu yapo kupima Imani.Barikiwa sana mtumishi.
Kwa hiyo Shetani ndiye anatujaribu na Mungu ndiye anaamua kama awache shetani atujaribu ama asitujaribu?