Umeanguka ewe Bandari salama, u wapi uzuri wako?

Umeanguka ewe Bandari salama, u wapi uzuri wako?

Uharibifu wa usiku wa kuamkia Jan 20 , 2024 utufumbue macho kuona.

Hameni ndugu zangu🙏😪
 
Jamani, Nabii ameondoka Rasmi mjini,

Tusipuuze.
 
Rabbon
"Usitutie majaribuni lakini utuokoe..."

Mungu ndiye anayetia watu majaribuni?
 
Rabbon
"Usitutie majaribuni lakini utuokoe..."

Mungu ndiye anayetia watu majaribuni?
MUNGU hamjaribu mtu, mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa na shetani na Majeshi yake

Ndo maana asema, tuombe asitutie majaribuni/ asiruhusu tujaribiwe.

Ikitokea shetani ametujaribu, au MUNGU ameruhusu shetani atujaribu, tunamwomba Mungu atuokoe katika najaribu hayo, yawe na kipimo, maana shetani asipozuiliwa, aweza kuua katika mchakato wa kumjaribu mtu.

Aamen
 
MUNGU hamjaribu mtu,

Ndo maana asema, tuombe asitutie majaribuni.

Ikitokea shetani ametutia majaribuni, au MUNGU ameruhusu shetani atujaribu, tunamwomba Mungu atuokoe katika najaribu hayo.

Aamen
Barikiwa sana mtumishi.

Kwa hiyo Shetani ndiye anatujaribu na Mungu ndiye anaamua kama awache shetani atujaribu ama asitujaribu?
 
Barikiwa sana mtumishi.

Kwa hiyo Shetani ndiye anatujaribu na Mungu ndiye anaamua kama awache shetani atujaribu ama asitujaribu?
Majaribu yapo kupima Imani.

Ukifunga NDOA Kwa Mfano, utaona wanawake ambao walikuwa wanakukataa, wataanza kukutamani.

Utashangaa, wanawake Ofisini wanakutengenezea mtego Ili umsaliti mkeo,

Anayewapitisha wanawake wenye mavazi ya kikahaba mbele Yako Ili uwatamani Si Mungu, Bali shetani,

Na Mungu anaruhusu ujaribiwe Ili aone ikiwa Kweli kiapo chako Cha uaminifu atika NDOA ulimaanisha au la.

Aamen
 
Imeripotiwa na Dar 24, kuwa majiji kadhaa Urusi na Kazakhstan yamefunikwa kabisa na maji,

Mji wa Syberia pekee, watu zaidi ya Laki Moja wamehamishwa sababu maji yamefunikwa kabisa Jiji Hilo.

Joto linaloongezeka duniani ndio chanzo Cha kuyeyusha barafu Kwa ghafula na mvua kubwa kuonyesha usiku mmoja tu imetosha kufunika majini kadhaa.

Tunazidi kupewa funzo kuheshimu unabii na manabii.
 
Back
Top Bottom