Nathan Jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,437
- 1,883
Nakumbuka miaka ya 90, hakukuwa na access sana na mitandao hasa hii ya kijamii,
Hapa naongea kabla ya Facebook, kabla ya tweeter, JF, Badoo, instagram hata whatsapp,
Najua wahenga walijua mitandao hii na kuitumia, Mara nyingi tulitumia computer za vichogo Pentium 1,2,3 ikaja Windows 94,96,98, XP
Baadae watu wanaanza kupata simu za Nokia N70, 72,77
Zinawezesha kuweka applications hizo
1.My gamma huu ulitumiwa sana na watanzania hasa waishio nje na wanaoishi kwa wadosi Tanzania,
2. Agamata, huu watanzania pia walikuwapo ila wachache sana,
3.Migg 33
4.Nimbuzz
5. Hi 5
6.Yahoo messenger pia
7.Talk to strangers
8. Yes I chat
9.Geocities
10.The Grid
11. Tagged.com
Je we wahenga mlikuwa na akaunt katika forum ipi?