Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha mbali sana ndugu yangu... Binafsi nimeanza kutumia migg33 hasa kwenye chat rooms za mademu na romantics rooms!! hahaha tumewasumbua sana.. enzi simu gprs sijui vile ndio inauwezo! Nokia N70, motorola bapa n.kNakumbuka miaka ya 90, hakukuwa na access sana na mitandao hasa hii ya kijamii,
Hapa naongea kabla ya Facebook, kabla ya tweeter, JF, Badoo, instagram hata whatsapp,
Najua wahenga walijua mitandao hii na kuitumia, Mara nyingi tulitumia computer za vichogo Pentium 1,2,3 ikaja Windows 94,96,98, XP
Baadae watu wanaanza kupata simu za Nokia N70, 72,77
Zinawezesha kuweka applications hizo
1.My gamma huu ulitumiwa sana na watanzania hasa waishio nje na wanaoishi kwa wadosi Tanzania,
2. Agamata, huu watanzania pia walikuwapo ila wachache sana,
3.Migg 33
4.Nimbuzz
5. Hi 5
6.Yahoo messenger pia
7.Talk to strangers
8. Yes I chat
Je we wahenga mlikuwa na akaunt katika forum ipi?
Hahaha page haifunguki hahayahoo inazunguka hadi muda wa kukaa cafe unaisha.
unauliza nini tatizo, wanasema ni network... ukiuliza network ndio nini hata mtaalam wa cafe naye kilaza. mimi nilikuwa nawaona kama wanaPHD ya IT kumbe ni masekretari tu.
Haha ndiyo mkuu yan ilikuwa firehahahha umenikumbus
ha mbali sana ndugu yangu... Binafsi nimeanza kutumia migg33 hasa kwenye chat rooms za mademu na romantics rooms!! hahaha tumewasumbua sana.. enzi simu gprs sijui vile ndio inauwezo! Nokia N70, motorola bapa n.k
na enzi hizo computer tunatumia za internet cafe (moja maarufu pale fire ilikua inaitwa cyber cafe kama sijakosea)... website maarufu ya kusikiliza nyimbo za kibongo ilikua www.mzibo.net Aisee siwezi kusahau hizi moment!
Yes ila hizo za juzi DarhotwireKulikuwa na Msn chat, yahoo chat, hi5, myspace wajanja walikwepo kibao huko, hapa bongo kulikuwa na darhotwire, marafiki.com. Facebook alipokuja akauwa yote ingawa hi5 bado nipo lkn haina mvuto tena
Mi wakati huo nilikua nakula mchanga
Haha ndiyo mkuu yan ilikuwa fire
[emoji23] kam unanifahamu vile.Ni kweli nakumbuka....na kitambi chako.
[emoji23] kam unanifahamu vile.
Those days nilikua mnene
line ya voda ikiwa 32,000/= unapata na manual bonge la kitabu kwny pack ukasome namna ya kutumia line BUZZ(sasa Tigo) line 22,500 iko ndANI YA kasha la cd na kakitabu flani kadogo manual ya jinsi ya kutumia line bila kusahau wazee wa tritel walioibuka na mabei yao makubwaaa vilaza sana watu hadi kuwekewa mavitabu ya kusoma notes ili uelewe kuweka kline jinsi ya kupiga kutuma sms na kucheza gemu la nyokaNakumbuka miaka ya 90, hakukuwa na access sana na mitandao hasa hii ya kijamii,
Hapa naongea kabla ya Facebook, kabla ya tweeter, JF, Badoo, instagram hata whatsapp,
Najua wahenga walijua mitandao hii na kuitumia, Mara nyingi tulitumia computer za vichogo Pentium 1,2,3 ikaja Windows 94,96,98, XP
Baadae watu wanaanza kupata simu za Nokia N70, 72,77
Zinawezesha kuweka applications hizo
1.My gamma huu ulitumiwa sana na watanzania hasa waishio nje na wanaoishi kwa wadosi Tanzania,
2. Agamata, huu watanzania pia walikuwapo ila wachache sana,
3.Migg 33
4.Nimbuzz
5. Hi 5
6.Yahoo messenger pia
7.Talk to strangers
8. Yes I chat
Je we wahenga mlikuwa na akaunt katika forum ipi?