Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

yahoo inazunguka hadi muda wa kukaa cafe unaisha.
unauliza nini tatizo, wanasema ni network... ukiuliza network ndio nini hata mtaalam wa cafe naye kilaza. mimi nilikuwa nawaona kama wanaPHD ya IT kumbe ni masekretari tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naikumbuka fb enzi hizo
 

Attachments

  • IMG_0061.JPG
    IMG_0061.JPG
    57.6 KB · Views: 36
Duh enzi hizo za internet cafe ilikuwa biashara ya matawi sana, hapo muhunui life tyt nimechapa, niakajikongoja na ji Philips savy langu huku vijana wenzangu wakipasuka na motorola ratz na ma nokia N na E series! Ukicheki huku ma Sony ericsson duh,,,mambo yalikuwa moto!
Hahah
 
Back
Top Bottom