Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kipindi hicho mkuuKipindi hicho
Kumbe hapo powa sanaUmenikumbusha mbali sana, nakumbuka kipindi hicho naenda Nakiete Internet Cafe Mwenge, au Posta opposite na CBE, nimetumia sana Yahoo Messenger, Hi5, Marafiki.com, DarHotwire ya IPP, Michuzi Blog, Bongo celebrity, Jambo Forums na nyinginezo, those were the days, siku hizi niko hapa JF na Twitter tu.
Hahaahaahaayahoo inazunguka hadi muda wa kukaa cafe unaisha.
unauliza nini tatizo, wanasema ni network... ukiuliza network ndio nini hata mtaalam wa cafe naye kilaza. mimi nilikuwa nawaona kama wanaPHD ya IT kumbe ni masekretari tu.
Mkuu Eskimi ulikuwa watafuta nini huko 😀😀😀😀Mimi nimeanza 2008 nilijiunga na Yahoo.. eskimi .badoo .phonerotica(hapa nilikuwa mpaka nafanya chatting) dinahicious.blogspot .michuzi jr.2go.peperonit . Facebook .whatsaap . Hi5 .Na mingine mingi tu ambayo kwa sasa nimeisahau .. palikuwa na cafe 1 hivi tabata karibu na shule ya st.mary ilikuwa ina nimalizia sana pesa zangu siku za weekend... net bwana inautamu wake enzi hizo ilikuwa nikiingia cafe sitamani kutoka kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Line za simu zilianza kusajiliwa mwaka 2008, Vodacom waeleze kabla ya hapo walikuwa wanawafahamu wateja wao? Nimeanza kuitumia Vodacom 2002Juzi kati hapa Vidacom walikuwa wanatoa zawadi kwa wateja wao wa zamani sana walio anza nao wakati mtandao huu ulipo anza. Nashauri na mitandao mingine ingeiga hili