100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Nimeanza na facebook 2008 Kama sio 2009. Hiyo mingine sijawahi hata kuisikia
Kipindi hicho tayari Mange ana blog anaiita U-Turn.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeanza na facebook 2008 Kama sio 2009. Hiyo mingine sijawahi hata kuisikia
That time nilikuwa nimeajiriwa kwenye hotel moja pale posta mpya mkapa tower, nilikuwa natumia sana komputa za ofisini na intanet ya wageni ku log in kwenye tagged na kukesha kutafuta marafiki kwenye marafiki.com, tuli enjoy sana on airTagged, hi5, marafiki.com, mashada,messanger ..
Hii ni kama Snaptu hivi, app moja ilikua maarufu sana kwenye simu za NokiaNaikumbuka fb enzi hizo
[emoji28] Mkuu kumbe wewe ni mkongwe kwenye sekta ya mawasiliano[emoji23]Line za simu zilianza kusajiliwa mwaka 2008, Vodacom waeleze kabla ya hapo walikuwa wanawafahamu wateja wao? Nimeanza kuitumia Vodacom 2002
Sent using Jamii Forums mobile app
Dinahicious!!! umenikumbusha mada zake za styles za kipepeo....kijiko...hii blog iliniongezea budget ya sabuni kipindi hicho nipo kifungoni...Mimi nimeanza 2008 nilijiunga na Yahoo.. eskimi .badoo .phonerotica(hapa nilikuwa mpaka nafanya chatting) dinahicious.blogspot .michuzi jr.2go.peperonit . Facebook .whatsaap . Hi5 .Na mingine mingi tu ambayo kwa sasa nimeisahau .. palikuwa na cafe 1 hivi tabata karibu na shule ya st.mary ilikuwa ina nimalizia sana pesa zangu siku za weekend... net bwana inautamu wake enzi hizo ilikuwa nikiingia cafe sitamani kutoka kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa hawakufahamu jina ila line yako ilikuwa inajulikanaLine za simu zilianza kusajiliwa mwaka 2008, Vodacom waeleze kabla ya hapo walikuwa wanawafahamu wateja wao? Nimeanza kuitumia Vodacom 2002
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuh basi ww mtoto sanaa.me kipindi hicho matawi nina sonyericson yangu nazama mig33,myspace,waptrick, mambo ya kick out hahaha nilisafirisha sana wadada kuja dar hahaha tena wadada wa kipindi hicho walikuwa na upendo haswa na hawahitaji hata senti yako ni mapenzi tuNimeanza na facebook 2008 Kama sio 2009. Hiyo mingine sijawahi hata kuisikia
The GridNakumbuka miaka ya 90, hakukuwa na access sana na mitandao hasa hii ya kijamii,
Hapa naongea kabla ya Facebook, kabla ya tweeter, JF, Badoo, instagram hata whatsapp,
Najua wahenga walijua mitandao hii na kuitumia, Mara nyingi tulitumia computer za vichogo Pentium 1,2,3 ikaja Windows 94,96,98, XP
Baadae watu wanaanza kupata simu za Nokia N70, 72,77
Zinawezesha kuweka applications hizo
1.My gamma huu ulitumiwa sana na watanzania hasa waishio nje na wanaoishi kwa wadosi Tanzania,
2. Agamata, huu watanzania pia walikuwapo ila wachache sana,
3.Migg 33
4.Nimbuzz
5. Hi 5
6.Yahoo messenger pia
7.Talk to strangers
8. Yes I chat
9.Geocities
10.The Grid
11. Tagged.com
Je we wahenga mlikuwa na akaunt katika forum ipi?
Waptrick nilikua naingia kudownload music tu na Nokia yangu E61 mwaka 2009 hiyoDuuuuh basi ww mtoto sanaa.me kipindi hicho matawi nina sonyericson yangu nazama mig33,myspace,waptrick, mambo ya kick out hahaha nilisafirisha sana wadada kuja dar hahaha tena wadada wa kipindi hicho walikuwa na upendo haswa na hawahitaji hata senti yako ni mapenzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
U turn nimeanza kuingia 2012Kipindi hicho tayari Mange ana blog anaiita U-Turn.
U turn nimeanza kuingia 2012