Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

Duuh,kaka mkubwa umeenda sana age aisee.

Sisi wengine tumeanza kutumia yahoo tuko form five huko. Mbeleni mwa miaka ya 2005.
Mi nimetumia friends.com walijaa wakenya ni mwaka 1999 hapo mpaka 2001
 
Kipindi cha move za kina Rambo? Enzi hizo mtoto akifaulu na kwenda shule ya Serikali anaonekana kipanga na anaepelekwa shule ya kulipia anaonekana kizibo, sasa hivi ni kinyume chake wapi zamani arif??
Ndiyo hivo
 
line ya voda ikiwa 32,000/= unapata na manual bonge la kitabu kwny pack ukasome namna ya kutumia line BUZZ(sasa Tigo) line 22,500 iko ndANI YA kasha la cd na kakitabu flani kadogo manual ya jinsi ya kutumia line bila kusahau wazee wa tritel walioibuka na mabei yao makubwaaa vilaza sana watu hadi kuwekewa mavitabu ya kusoma notes ili uelewe kuweka kline jinsi ya kupiga kutuma sms na kucheza gemu la nyoka
Alafu vocha inaitwa Dola
 
Mimi 2009 sekondari Kiluvya tulikua tunaaccess Phonerotica...com na kudownload games WAPTRICK.CCOM kwa simu ya rafki yangu alipewa na bro wake alitoka ng'ambo KIMOTOROLA matata.
Mitandao ya kijamii nilikua siijui hata,naona uwongo uwongo tu.
 
LG au l6 motorola
 
yahoo inazunguka hadi muda wa kukaa cafe unaisha.
unauliza nini tatizo, wanasema ni network... ukiuliza network ndio nini hata mtaalam wa cafe naye kilaza. mimi nilikuwa nawaona kama wanaPHD ya IT kumbe ni masekretari tu.
Alafu unalipia kwa nusu saa
 
Back
Top Bottom