Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

Inawezekana kweli anatakiwa kukuamkia lakini hicho sidhani kama ni kipimo sahihi cha umri inategemea mazingingira mtu aliyokulia. Mimi nimeanza kutumia mitandao effectively 2011 lakini nina uhakika umri nimekuzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Aahhh!wapiii!!kantwe hujanizidi hata kidogo nagoma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yahoo inazunguka hadi muda wa kukaa cafe unaisha.
unauliza nini tatizo, wanasema ni network... ukiuliza network ndio nini hata mtaalam wa cafe naye kilaza. mimi nilikuwa nawaona kama wanaPHD ya IT kumbe ni masekretari tu.
Hahaha 🀣 Dahh sio powa ilikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…