Nashukuru Mungu mikoa yote nimekaa kwa wastani angalau miezi 3mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
ni hiyo tu kwa sasa.
Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
Tanzania nzima nimevuruga yote na chanzo cha kuvuruga mikoa yote ni kazi ya uderevaDuh Mimi nadhani nimechafua mikoa yote nadhani Bado mbeya na songwe huko.
Yote kasoro Mikoa 7 na Zanzibar tuuMikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
Ni hiyo tu kwa sasa.