Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

Kama umefika Iringa na Mbeya, most likely umepita Njombe lakini hukuwa unafahamu kwa kuwa barabara ya Tazam kuanzia kijiji kinaitwa Nyigo karibu na Makambako hadi maeneo ya karibu kidogo na Igawa, hilo eneo hapo kati ni mkoa wa Njombe...
Km ndio kwa staili hiyo basi nimefika mikoa yote.
Maana mie hadi nifike makao makuu ya mkoa ndio nahesabu km nimefika
 
Mikoa mitatutu sijakanyaga na kulala kabisa usingizi Rukwa, Katavi na Songea nimepenga siku moja nifike huko
 
Mikoa niliyogusa ardhi yake ni
Morogoro
Dar
Pwani
Tanga
Iringa
Dodoma
Singida
Tabora
Shinyanga
Mwanza
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Njombe
Mbeya

Matamanio yangu kufika mikoa hii
Ruvuma
Lindi
Mtwara
Katavi
Rukwa

Mikoa ambayo sina interest ya kufika huko ni
Kigoma
Mara
Kagera
Songwe
Simiyu
Geita
 
mwanza, Dar,pwani, tabora,shinyanga,Simiyu
 
1.Dar es salaam
2.pwani
3.Morogoro
4.Dodoma
5.Singida
6.Tabora
7.Shinyanga
8.Mwanza
9.Mara
10.Geita
11.Simiyu
12.Bukoba
13.Moshi
14.Kigoma
 
Kama umefika Iringa na Mbeya, most likely umepita Njombe lakini hukuwa unafahamu kwa kuwa barabara ya Tazam kuanzia kijiji kinaitwa Nyigo karibu na Makambako hadi maeneo ya karibu kidogo na Igawa, hilo eneo hapo kati ni mkoa wa Njombe...
Ili ipite njombe kwa aliyefika Iringa inategemea ametokea wapi.
 
Ngoja nami nihesabu yangu;
Mara
Mwanza
Shinyanga
Tabora
Katavi
Rukwa
Songwe
Njombe
Iringa
Morogoro
Dodoma
Singida
Mtwara
Lindi
Arusha
Manyara
Dar es Salaam
Pwani

Asikwambie mtu, Tanzania kubwa aisee
 
Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,

1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha

Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,

Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda

Ni hiyo tu kwa sasa.
1 Tabora
2 Shinyanga
3 Mwanza
4. Simiyu
5. Dodoma
6. Singida
7. Morogoro
8.Njombe
9. Mbeya
10 Songwe
11 Katavi
12. Rukwa
13 Pwani
14 Dar es Salaam
15 Lindi
16 Mtwara
17. Ruvuma
18. Tanga
19. Kigoma
20 Geita
21 Iringa

Bado
1. Kagera
2. Mara
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Manyara.

Kabla sijafikisha miaka 40 nitakuwa nishaitembelea kila wilaya ya nchi hii.
 
Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,

1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha

Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,

Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda

Ni hiyo tu kwa sasa.
Duuuu kasoro Rukwa na Katavi so far...Mungu àjaalie nikatafute mashsmva huko Katavi Rukwa
 
1.Dar es salaam ndipo nilipo anzia kuiona dunia siku ya kwanza kuiona dunia nilifikia hapa kwenye hospital ya Temeke.

2.Tanga huku nimekulia ndipo baba yangu alipofikia kipindi anaitembelea dunia. anaishi huko hadi leo.

3.Singida ardhi ya umamani kwetu🤣🤣🤣 japo mjomba angu mwigulu nchemba simuelewi

3.Geita nilimfuata mwanamke nikitokea Dar es salaam. umalaya huu nyie safari ya kwenda huko ilinichukua siku 2 hadi kufika na ilikuwa na misuko suko mingi sana. huyu manzi tuliachana baadae nikaja kuona connection yake sehemu 🤣🤣🤣

4. Mwanza

5. Arusha
6. Kilimanjaro nimeoa huko
7.Dodoma nilipelekaga maombi ya kazi wizara ya mambo ya ndani...hapo ndipo nilipo jua kuwa bila connection nchi hii kazi hupati kwa nilicho kiona na kukisikia kwa masikio yangu pale dispatch.

8. pwani.

9. Manyara.​
 
Back
Top Bottom