Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

nimetembea nchi zote africa kasoro burundi ila dar es lam kama mkoa wa tz sijawah kanyaga na sitokuja kukanyaga mpaka nahama dunia hiyi kwasababu una harufu ya nyaa
Hizo nchi zote Africa ulienda kwa usafiri Bus?
 
Hizo nchi zote Africa ulienda kwa usafiri Bus?
mara nyingi natumia viwanja vya ndege vya nchi jirani hasa south afrika coz naishi mpakani kias kwamba toka hapa nilipo kwenda dar na kwenda nchi jirani mbali dar es laam pia ni maamuz tu
 
Nachojua sijafika Kigoma na Ruvuma tuu.Sijawah kuwa na issue huko ndio maana. Zikijitokeza nitafika tu
 
Nimetembea mikoa yote bara na visiwani na pia nchizi zote za East Africa ukiondoa Somalia iliyojiunga juzi...
Nchi 30 zingine za Africa....

Sent from my SM-S908E using JamiiForums mobile app
 
Manyara
Dar
Dodoma
Kigoma
Mwanza
Shinyanga
Tabora
Rukwa
Morogoro
Iringa
Geita
Pwani
Mara
Kagera
Zanzibar
Simiyu
Kahama
Tanga
Mbeya
Kilimanjaro

Bado huko kusini na Kaskazini hapo!
 
Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,

1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha

Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,

Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda

Ni hiyo tu kwa sasa.

Yote nimepata bahati ya kufika.
 
Nimefika
Kilimanjaro
Tanga
Dar
Arusha
Morogoro
Pwani
Mbeya
Iringa
Mtwara
Lindi
Dodoma
Mjini Magharibi (Zanzibar)
 
Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,

1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha

Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,

Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda

Ni hiyo tu kwa sasa.

Bado Pemba, Kagera na Kigoma pekee!
 
1 Dar-main land (ardhi yote 85%)

2 Kilimanjaro -moshi-marangu-rombo-uru(short term

3 Arusha- wilaya zote (Average time)

4. Ruvua -Songea tunduru-bambabei(SHORT TERM

5 IRINGA- BY PASS

6 MBEYA - SONGWE, MBEYA MJIN TUNDUMA

7 LINDI- LIND MJIN SHORT TERM

8 MTWARA - MTWARA ,NEWALA , TANDAHIMBA ,MASASI (AVERAGE TIME)

9 MKOA WA PWANI( AVERAGE TIME)

10:: TANGA (SHORT TIME - BY PASS)

11 MOROGORO (AVERAGE TIME

12 ZANZIBAR- UNGUJA (AVERAGE TIME
HV ZENJI NI NCHI AU MKOA

[emoji16][emoji3][emoji2]

MIKOA AMBAYO NAWAZ KUFK HADI 2030
MWANZ
BUKOBA
DODOMA
NAIROB- MOMBASA
Singda
 
Back
Top Bottom