Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

1. Ruvuma
2. Njombe
3. Iringa
4. Dodoma
5. Singida
6. Tabora
7. Shinyanga
8. Geita
9. Kagera
10. Mwanza
11. Mara
12. Simiyu
13. Morogoro
14. Pwani
15. Dar Es Salaam
16. nk
 
Kwenye orodha zinazoendelea humu inaonekana Mara, Manyara na Ruvuma haijatembelewa na wengi kulikoni ?

Pengine hakuna fursa huko...

Pengine wachangiaji wengi wapo mbali na mikoa hiyo...
 
Arusha
Dodoma
Dar es
Geita
Iringa
Kilimanjaro
Kigoma
Lindi
Mtwara
Mara
Morogoro
Mbeya
Manyara
Mwanza
Rukwa
Ruvuma
Songwe
Tabora
Katavi
Kusin Unguja
Kaskazin Unguja
Mjini Magharibi
Kaskazini Pemba
Kusini Pemba
 
Mpka sasa naona mkoa wangu nilikozaliwa umechkua 80% ya mikoa yote iliyotembelewa pongezi Tanga...Unastahili
 
Ili ipite njombe kwa aliyefika Iringa inategemea ametokea wapi.

Kafika Iringa na Mbeya, so most likely kapita mkoa wa Njombe ambao ndio uliopo kati ya mikoa hiyo kwa barabara ya Tazam au ile ya kwenda Ruvuma kutokea Makambako...

Otherwise labda awe kafika Mneya kwa kutokea njia ya Chunya, na Iringa kwa njia ya Dodoma au Tazam au vinginevyo...

Au awe kafika Mbeya kwa ndege na Iringa kwa usafiri mwingine...
 
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Manyara
4. Dodoma
5. Iringa
6. Mbeya
7. Songwe
8. Dar Es Salaam
9. Pwani
10. Kagera
11. Mwanza (nilitua na Bombadier 2019)
12. Tanga
13. Njombe
 
Tanga
Pwani
Dar
Moro
Dodoma
Singida
Shinyanga
Mwanza
Tabora
Geita
Simiyu
Manyara
Kilimanjaro
Arusha
 
Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,

1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha

Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,

Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda

Ni hiyo tu kwa sasa.
Binafsi, sijakanyaga Kigoma na Zanzibar tu..!! Kwingine kote nimefika kwa kuendesha mwenyewe, ndege, treni na meli. Kazi yangu kwenye kampuni ya simu (Celtel by then, Zain, Airtel) imenifanya nizulule almost nchi nzima. Pia safari binafsi zimenifanya niijue nchi yetu.
 
Kigoma ,kibondo, kasulu
Tabora
Shinyanga
Simiyu
Singida
Dodoma
Amnyara
Mbeya
Iringa
Ruvuma
Njombe
Dar
Pwani
Tanga
Arusha

Kwa Sasa nimekita kambi dodoma
 
Sina haja ya kuorodhesha ila ni Mbeya tu na Sumbawanga ndio sijawahi kukanyaga kwa hapa Tz.
 
1. Arusha 2. Manyara 3. Kilimanjaro 4. Mara 5. Simiyu 6. Shinyanga 7. Kigoma 8. Tabora 9. Katavi 10. Singida 11. Dodoma 12. Morogoro 13. Pwani 14. Dar es Salaam 15. Mwanza 16. Lindi 17. Mtwara 18. Kagera 19. Geita.

Bado sijafika:
1. Njombe 2. Iringa 3. Tanga 4. Rukwa 5. Ruvuma 6. Mbeya Na mikoa iliyopo visiwa vya 7. Unguja 8. Pemba
 
Dodoma
Tabora
Kigoma
Singida
Moro
Arusha
Moshi
Pwani
Dar
Shinyanga (Kahama)
Geita
Kagera
 
nimetembea nchi zote africa kasoro burundi ila dar es lam kama mkoa wa tz sijawah kanyaga na sitokuja kukanyaga mpaka nahama dunia hiyi kwasababu una harufu ya nyaa
 
Singida
Mara
Mwanza
Rukwa
Dodoma
Songwe
Simiyu
Njombe
Mtwara
Lindi
Pwani
Dar es salaam
Morogoro
Mbeya
Iringa
Kuna sehemu natamni kufika inshalllah
Natamni kufika Arusha na Tanga Depal nipe mwaliko 😀
Kha kumbe katembezi haka kamrembooo
 
Back
Top Bottom