Nsaji wa Lila
Senior Member
- Feb 1, 2021
- 118
- 152
Km ndio kwa staili hiyo basi nimefika mikoa yote.Kama umefika Iringa na Mbeya, most likely umepita Njombe lakini hukuwa unafahamu kwa kuwa barabara ya Tazam kuanzia kijiji kinaitwa Nyigo karibu na Makambako hadi maeneo ya karibu kidogo na Igawa, hilo eneo hapo kati ni mkoa wa Njombe...
Km ndio kwa staili hiyo basi nimefika mikoa yote.
Maana mie hadi nifike makao makuu ya mkoa ndio nahesabu km nimefika
Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
Ili ipite njombe kwa aliyefika Iringa inategemea ametokea wapi.Kama umefika Iringa na Mbeya, most likely umepita Njombe lakini hukuwa unafahamu kwa kuwa barabara ya Tazam kuanzia kijiji kinaitwa Nyigo karibu na Makambako hadi maeneo ya karibu kidogo na Igawa, hilo eneo hapo kati ni mkoa wa Njombe...
1 TaboraMikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
Ni hiyo tu kwa sasa.
Duuuu kasoro Rukwa na Katavi so far...Mungu àjaalie nikatafute mashsmva huko Katavi RukwaMikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
Ni hiyo tu kwa sasa.
Kwenye orodha zinazoendelea humu inaonekana Mara, Manyara na Ruvuma haijatembelewa na wengi kulikoni ?Bado ni hii pekee...
Pemba
Ruvuma
Kigoma
Katavi
Kagera
Mara
Manyara
Kwan zenj ni mkoa huko hata sina mpango mkuu nina mpango mwakani nikijaliwa afya njema nitue ufaransa nikataliiNa zenji uliendaje?? [emoji1]