Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Kwenye orodha zinazoendelea humu inaonekana Mara, Manyara na Ruvuma haijatembelewa na wengi kulikoni ?
Ili ipite njombe kwa aliyefika Iringa inategemea ametokea wapi.
Karibu sana Songea.Sijafika Kagera na Songea....!
Next year ntafika Songea...!
Binafsi, sijakanyaga Kigoma na Zanzibar tu..!! Kwingine kote nimefika kwa kuendesha mwenyewe, ndege, treni na meli. Kazi yangu kwenye kampuni ya simu (Celtel by then, Zain, Airtel) imenifanya nizulule almost nchi nzima. Pia safari binafsi zimenifanya niijue nchi yetu.Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
Ni hiyo tu kwa sasa.
Kwamba hii mikoa watu wamezunguka juzi, jana na leo..!!??Kumbe nauli haijapanda maana watu wanazunguka mikoan hovyo hovyo
Aliendesha botiNa zenji uliendaje?? [emoji1]
Umeidhulumu nafsi yako.Nimezunguka Tanzania yoooote isipokua Kigoma.
Kha kumbe katembezi haka kamremboooSingida
Mara
Mwanza
Rukwa
Dodoma
Songwe
Simiyu
Njombe
Mtwara
Lindi
Pwani
Dar es salaam
Morogoro
Mbeya
Iringa
Kuna sehemu natamni kufika inshalllah
Natamni kufika Arusha na Tanga Depal nipe mwaliko 😀