Hizo nchi zote Africa ulienda kwa usafiri Bus?nimetembea nchi zote africa kasoro burundi ila dar es lam kama mkoa wa tz sijawah kanyaga na sitokuja kukanyaga mpaka nahama dunia hiyi kwasababu una harufu ya nyaa
Asante sana.Karibu sana Songea.
mara nyingi natumia viwanja vya ndege vya nchi jirani hasa south afrika coz naishi mpakani kias kwamba toka hapa nilipo kwenda dar na kwenda nchi jirani mbali dar es laam pia ni maamuz tuHizo nchi zote Africa ulienda kwa usafiri Bus?
Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
Ni hiyo tu kwa sasa.
Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
Ni hiyo tu kwa sasa.