Umebutua shilingi ngapi Betting/Forex?

Kuna watu forex wanasoma week moja AF wanataka kutrade mtaliwa vichwa mpk mapumbu forex inataka watu wanaojielewa kiakili na wenye knowledge ya kutosha Incase naish kwasabab ya forex na kazi bado nafanya usiniulize kwanin sijaacha kazi
 
PG NO: 2/7

NARUDIJE FOREX

Nimeeleza maamuzi ya kurudi forex kwene pg 1/7

Hatua ya kwanza
Nimefungua Demo acc kwa ajili ya kumonitor acc yangu Real

Nimepewa Dollar 100,000


Lakini piya nimetafuta acc yangu ya zamani niliwai kufungua na Templerfx

Hii nilikua nimedeposit dollar 50 (50$) nikaliwa zote zikabaki 0.83


Mnashauri nianze na sh ngapi
 
Forex haitaki hisia bali akili na mahesabu makali,mkuu cheating kwenye forex ipo hayo ma bank makubwa Kuna namna yanaliendesha soko ili faida zielekee kwao.. sema ni vile hawafanyi wewe kushituka!.
This world it's the world of cheating!.

mmmh
 
Nikajua labda umejifunza ulikokuwa unakosea?

Nikuulize swali dogo, mpaka hapo ulipo umesoma "Advanced Courses" za fx ngapi?

Unapaswa angalau umeshasoma 3 au 4 hivi, ili uwe na uwezo wa kuliona soko kutoka angle zote...
 
Nikajua labda umejifunza ulikokuwa unakosea?

Nikuulize swali dogo, mpaka hapo ulipo umesoma "Advanced Courses" za fx ngapi?

Unapaswa angalau umeshasoma 3 au 4 hivi, ili uwe na uwezo wa kuliona soko kutoka angle zote...

Nitumie mkuu hizo vitabu
 
CriptoSwaps
Assalam alaykum warrahmatullahi wabarakatu za leo ndugu kuna fursa hiyo ya uwekezaji kupitia weecoins kwa mtaji wa usdt 10 naomba upitie na uchukue hatua
 
Mbona una lazimisha sana watu wachukue hatua, ww umetengeneza bei gani?. Hamna hela rahisi hivyo, wewe mwenyewe unatoka jasho kutafuta commission.
 
Forex na betting Ni yale Yale ,Tena kama unafanya analysis na kufuatilia game , betting Ni rahisi mno na unapiga pesa ,Tena Kwa hizo mitaji zenu za forex ukiingia nazo betting unapiga pesa mpaka unaona maisha Ni rahisi ....imagine una mtaji WA $50 sawa na 125,000,,,kwenye betting huo Ni mtaji mkubwa mno ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…